Recent content by fast mind

  1. F

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Maandamano ya mapinduzi ya serikali huwa yanatokea siku ambayo polisi hawajajiandaa na wala wananchi hawakujiandaa kuandamana ila wanajikuta wapo barabarani tena chanzo chake huwa kidogo sana.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kuwe na Ngozi Nyeusi (Africans) na Nyeupe?

    Mm kwa upande wangu naamini kwamba binadamu hana rangi, hii dhana ya weusi na weupe ni ideology ambayo wazungu wametupandikiza katika akili zetu kipindi wanatufundisha somo la utambuzi wa rangi. Sidhani kama mababu zetu enzi za zama za mawe walikua wanajitambua kama wao ni black. Hili neno black...
  3. F

    JamiiForums Tanzania D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

    Jamaa noma sana ila sijaelewa kwann aliwaambia mabawa yashushwe kwenye nyuzi 15... Lengo lilikuwa ni nn hasa?
  4. F

    JamiiForums Tanzania KRYPTOS: Fumbo lilowashinda CIA

    Hii sio hacking bali ni information Encryption and Decryption. Unaweza ukahack computer ukafetch data lakin ukashindwa ku-decrypt data ili upate information iliyopo. Kwenye field ya hacking ukiwa na data ni useless lakini ukiwa na information umeshinda.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ------------------
  6. F

    JamiiForums Tanzania Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

    Ninachokiona hapa ni kwamba una question uwezo wa Mungu na sio kwamba huamini kuwa Mungu yupo. Nadhani hili swali ungejibu ww mwenyewe kwamba kwann hujaumbwa mbuzi, bata, mende n.k. Ukishapata majibu hapo juu njoo na contradiction zilizobakia.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kiswahili ni Kiingereza, jadili.

    Ni lugha ambayo imekosa kuwa na herufi zake zenyewe. Hizi herufi zote tunazozitumia katika kuumba maneno ya kiswahili tumechukua kwa wazungu (a,b,c,d,e... na a, e, i, o, u). Ikasababisha baadhi ya maneno tuyatohoe kutoka kwenye lugha ya kiingereza kwasababu tulikuwa bado hatujajiandaa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Ukienda KILWA MASOKO ulizia sehemu inaitwa kisiwani...watakuonyesha sandaku la chuma limepigwa minyororo lipo chini ya maji. Unaliona hata ukiwa kwenye mtumbwi...lakin hamna mtu amewahi lichukua, wameshajaribu sana. Hadi leo lipo
Back
Top Bottom