Recent content by farujoni

  1. farujoni

    Naomba kujuzwa kazi ya button hii kwenye gari yangu

    Naomba uelezee basi inakazi gani kwenye gari yako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. farujoni

    Naomba kujuzwa kazi ya button hii kwenye gari yangu

    Naomba kuuliza hii button ina kazi gani kwenye gari!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. farujoni

    Gaming Desktop For Sale

    Toka lini core i3 ika play fifa 20 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. farujoni

    A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi

    Na once ikijulikana kama kuna coronavirus kenya basi ujue tanzania tutawazuia kuingia nchini kwetu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. farujoni

    Ndege za Urusi za SU24 zashambulia maeneo ya waasi baada ya uturuki kushambulia magari mawili ya Syria na kuwajeruhi askari wanne

    Uwe unauliza kwanza, Turkey yuko kwenye umoja wa NATO so marekani anatekelza wajibu wake Sent using Jamii Forums mobile app
  6. farujoni

    Gari yangu ina tatizo la kuchemsha naomba msaada

    Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  7. farujoni

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Natumia gari aina ya Vitz old model gari hii inatabia ya kuwasha taa nyekundu kuashiria kuwa tempreture ya gari iko juu pindi jua linapokuwa kari sana na hali hii inapelekea gari kukosa nguvu ama kuzima kabisa. Ila pindi inapowasha taa ya kuashiria kuwa gari inachemsha huwa naangalia kama maji...
  8. farujoni

    Gari yangu ina tatizo la kuchemsha naomba msaada

    Za muda huu.. Natumia gari aina ya Vitz old model gari hii ina tabia ya kuwasha taa nyekundu kuashiria kuwa temperature ya gari iko juu pindi jua linapokuwa kali sana na hali hii inapelekea gari kukosa nguvu ama kuzima kabisa. Ila pindi inapowasha taa ya kuashiria kuwa gari inachemsha huwa...
  9. farujoni

    ETI UKITAKA AFIKE KILELENI UNAFANYAJE

    Jifunze kwa kutia ndo ukifunze kumfikisha maana hivyo ni vitu viwili tofauti!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. farujoni

    ETI UKITAKA AFIKE KILELENI UNAFANYAJE

    Shuleni kweni awafundisho!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. farujoni

    Unlimited Internet For Youtube

    Me naulizia kama wana iyo product ya jnlimited bundles
  12. farujoni

    Unlimited Internet For Youtube

    Hi Naomba kujua ni mtandao uoi wa simu una unlimited internet for youtube kwa njiarahisi mtandao upi unatoa unlimited bundle za youtube!!?? Najua Halotel wana Royal Bundle but once ikiisha zile GB walizokupa mtandao kasi yake inapungua.
  13. farujoni

    Unlimited Youtube streaming bundle

    Hi, Dunia ya sasa mambo mengi yamekuwa yanabadilika kwa kasi na sasa Youtube imekuwa kama television ambapo imekuwa ina mambo mengi mno ambapo yanakuwa yanaonyeshwa kupitia channel ambazo zimefunguliwa huko. Swali langu ni kwamba ni mtandao gani ambao naweza kupata unlimited streaming ya...
  14. farujoni

    Napata wapi Xiaomi Android TV Box

    Nimepata kwa laki mbili gharama ukiwa pamoja na usafiri wa kukuletea nyumbani
  15. farujoni

    Nimeangalia video ya huyu Mkenya, WCB wanatakiwa kuitafakari

    Kama mnakumbuka lakini wasafi festival ilianzia kenya na kuwapa fursa wasanii wakenya guys
Back
Top Bottom