Recent content by faru john junior

  1. faru john junior

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kitaalamu kuhusu masuala ya fedha

    Husika na mada tajwa hapo juu, Mimi ni mtumishi katika Secta Binafsi hapa nchini Tanzania. Katika utumishi wangu nimefanikiwa kujichanga mpaka kufikia million 50. Hizi pesa ziko kwenye account bank lakini naona zimekaa tu nazidokoa dokoa ila kwa sasa natafuta taasisi gani ya Kifedha mfano hizi...
  2. faru john junior

    JamiiForums Tanzania Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    Nimecheka sana Sent from my SM-N980F using JamiiForums mobile app
  3. faru john junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

    Sina cha kusema zaidi ya kumuomba Mungu azidi kuwapiga pini kwenye maokoto. Otherwise kuna hatari ya mm kutimuliwa nyumbni Sent from my SM-N980F using JamiiForums mobile app
  4. faru john junior

    JamiiForums Tanzania Danguro lenye Wanawake wa kihindi na Nepal lavunjwa Dar

    Huu ni uharibifu wa huduma pendwa Sent from my SM-N980F using JamiiForums mobile app
  5. faru john junior

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    Mkiwa kazini huwa mna mbwembwe nyingi sana kana kwamba hamtastaafu. Haya sasa fainali uzeeni. Nakutakia mapambano mema Sent from my SM-N980F using JamiiForums mobile app
  6. faru john junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuhusu mnyanduano

    Huu uzi bila picha hauna mashiko
  7. faru john junior

    JamiiForums Tanzania Sakata la vitendanishi; Aliyerekodi ageukwa, Rose hana kosa

    Ni kamera ya kifaa kipi iliyotumika kumrekodi?, kama ni sim ya mkononi si angeona kuwa jamaa anamrekodi. Wataalam mnisaidie
  8. faru john junior

    JamiiForums Tanzania Shabibiy: Nilinunua basi langu la kwanza nikiwa na miaka 19. Asema mafanikio yake siyo ya kurithi

    Hata uwizi wenye kukufanya kuwa tajiri nayo ni kazi iliyofanywa kwa bidii. Niwangapi wameiba na kukamatwa na ndoto zao kupotea?
  9. faru john junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanavutiwa na kucha za wanaume?

    Hizi ni kucha au mafungu ya tangawizi yakiwa sokoni
  10. faru john junior

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetumia ARV kwa muda mrefu virusi huwa havionekani kwenye vipimo vidogo?

    Kipimo kikubwa ndo kipi? Tuanzie hapa kwanza
  11. faru john junior

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Kwa hiyo unataka kusemaje?
  12. faru john junior

    JamiiForums Tanzania Kwanini una wapenzi wawili au zaidi?

    Ikiwa tu huyu mmoja napata raha kiasi hiki. Ni imani yangu kuwa akiwa zaidi ya mmoja basi sio raha tu bali ni raha mustarehe
  13. faru john junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kusamehe usaliti kuliko Mwanaume?

    Nawaza sijui nikutumie pesa kdgo kama laki moja au nikuombee dua. Maana umetoa majbu yaliyonyooka na yenye ukweli mtupu. Ukipingana na nature utaumia sana
  14. faru john junior

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio kwenye system, tujuzeni lile crane la tani 26 liliagizwa toka Sayari ipi?

    Wanasiasa watu wa ajabu sana. Lile bwawa ukweli ni kwamba kukamilika kwake ni 2025 ila 2024 watafanya majaribio ya tundu moja kati ya 9 kuanza kuzalisha umeme.
  15. faru john junior

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Nyerere tulijilisha upepo au ndiyo mwendelezo wa siasa chafu za kibepari?

    Ni kweli sijasoma mpka mwisho. Acha niendelee kutoelewa
Back
Top Bottom