Recent content by farooq2013

  1. F

    iphone icloud remover & unlocker to all simcards...

    nipigie kwenye 0774425067 mie nazitoa ila hela yake ni ndefu na nipo zanzibar.
  2. F

    Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa , ukweli wa jambo hilo umeibuliwa. Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho...
  3. F

    Mbona Zanzibar mafuta hayashuki bei?

    Kinachonishangaza EWURA walitangaza ushukaji wa mafuta nchi nzima tangu Disemba na hadi jana mafuta ya petroli bara yanauzwa 1623 lkn huku kwetu zanzibar bei bado ni 1965. Sijui wenzetu wa Zanzibar mafuta wanayachukua nchi gani au sie tupo nchi tofauti na Tanganyika.Kibaya zaidi hali ya uchumi...
  4. F

    Hivi kweli Tanzania tunaishi makaburini kama picha inavoeleza hapo

    hivi kweli viongozi wetu wanaamini kama kweli sote watanzania tunaishi makaburi. Tafakari
  5. F

    Escrow ni jammi ya panya road

    Escrow ni jammi ya panya road tofauti yao ni wezi waescrow wanatumia kalamu na panya road wanatumia mapanga..... Mchungaji godfrey sombi Source. Jicho ndani ya habari. Star Tv
  6. F

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Jamn tupeni update zanzibar nzima umeme umekatwa tusione yanoendela tujuzeni
  7. F

    Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    Wale wote waliochana kazi zao kufatilia mwenendo wa usomaji report ya tegeta escro waisubiri ijioni kutokana na majadiliano ambayo bado yanaendelea kati ya speaker na kamati kuu ya bunge kwa ujiyo wa zuio la mahakama.
  8. F

    Msaada: Kurejesha personal hotspot kwenye iPhone

    Neneda kwenye celullar-celullar data network- jaza chochote kwenye APN ya personal hotspot. Mfano web. Kisha ukirudi nyuma kwenye cellular data utaiona personel hotspot itakuepo. Hii kitu itafixiwa kwenye ios 8.1 itakayotoka end of this month
  9. F

    Hawa wote wanataka serikali 3

    Hao kwenye picha ni mfano wa watu wanaotaka serikari tatu sijui kwann ww unasita kutaka serekari tatu
  10. F

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    kweli unavosema mods kaaribu kila kitu nina picha na video nimetaka nikuekeni yalokuepo pemba lkn nimeshindwa cz uzi wangu ndio umewekwa pamoja na huo wa jana ulokuepo unguja.
  11. F

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    Mbowe anasema 1995 hadi mwaka 2000 malim seif (CuF) kashinda uchaguzi lkn CCm wamechakachua
  12. F

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    Nipo njiani kuelekea uwanja wa Tbirinzi chake chake nitakujulisheni uptodate updates picha na video kwa yanoyojili mkutanoni wa wakombozi we2 wa ukawa
  13. F

    msada kutumia CRDB visa card kulink pay pal na kufanya shoping online

    wajameni ukweli humu hamna wakunisaidia.... kama siaminiga hivi au tuseme ndio roho mbaya
Back
Top Bottom