Hakuna mchezo wa hela..Voda ni wezi sana hilo halina ubishi, mimi nilijiunga na kifurushi cha voda cha sh1999 anbayo walinipa dakika 29, nilipiga cm moja ambayo nilitumia sec 34 wakanitumia ujumbe salio langu la cheka limekwisha
Swala la kukopa na mshaara linahusiana nn? Tambua mshaara ni siri ya mfanyakazi na mwajiri tu sio vinginevyo, Mwambie akulipe hela yako aache ujanja ujanja..kwani shida haina mwisho
Kuongea ni haki ya mtu, lakini haki bila mipaka ni chanzo cha uvunjifu wa amani.mi naona ungefanya utafiti kwanza kabla ya kutoa pumba zako. Kwa mtazamo wako wewe jeshini wapo form four tu? Nenda pale chuo cha polisi kilwa road au nenda chuo cha magereza ukonga utawakuta wanaofundisha elimu ya...
Hakuna hesabu za kifungo cha usiku na mchana ila jeshi la magereza limepewa mamlaka ya kupunguza adhabu kwa mhalifu aliyehukumiwa kifungo kwa 1/3 ya kifungo chake ila haki hii hawastahili wafungwa wa kunyongwa,viboko na wa maisha
kisheria ugoni sio kosa la jinai ila jinai itakuja pale tu matokeo ya hilo fumanizi kwa sababu baada tu ya kumfumania mgoni he/she may react inapofikia hapo uvunjifi wa amani utokea ila kama hakuna fujo au uvunjifu wowote wa amani na aliyefumania akaenda mahakamani itakuwa ni civi case
mshahara wako ulisimamishwa katika kipindi cha ukaguzi wa vyeti na cheti chako kilikuwa na walakini, wakati uchunguzi juu ya uhalali wa cheti chako unaendelea wewe uliamua kuandika barua ya kuacha kazi, kabla barua yako haijajibiwa wewe ulitoweka kazini bila taarifa yeyote..sasa basi ukitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.