Wabongo mmetisha sana daah nimecheka sana hata hadithi mnachakachua.
mbona hujamalizia! huyu mzee li xing si alienda kumpa.....?
daah! kwel apa dunian kuna watu wanaroho mbaya sana lakin huyo bwana Xiang Woo Amezid Sana hakutakiwa kumfanyia hivo mzee Park Hwang!
daah! kwel apa dunian kuna watu wanaroho mbaya sana lakin huyo bwana Xiang Woo Amezid Sana hakutakiwa kumfanyia hivo mzee Park Hwang!
daah! kwel apa dunian kuna watu wanaroho mbaya sana lakin huyo bwana Xiang Woo Amezid Sana hakutakiwa kumfanyia hivo mzee Park Hwang![/QUOTE
Alikua mnoko sana huyo
Tung chon aliposema wakizidi kumuandama atakuja Tanzania kuunganisha mabomba ya gesi japo mshahara ni mdogo lakini atapiga dili za pembe za ndovu!
Huyo alijifanyaga mjanja na alikua anataka cheo cha ujenero kwa nguvu na kwakua alikua ana semi kwenye top management hakujua xiang woo ni msomi na anatumia zaidi akili kufikiri kabla ya kutenda ..wee kamkomeshajeee
执獧扻捡杫潲湵潣潬㩲昣昸昸㬸慢 yani ndiyo kanifanya niuzunike zaid loh kweli mbaya sana
Mamdogo nifafanulie na mie nielewe...
Baba wa kichana alimtaka mpenzi amabaye ni rafiki wa mwanae . Mtoto wake akakataa kutoa namba akampiga kibao cha uso yani imeniuma sana rafiki yako awe mama yako duh