Recent content by farida29

  1. F

    JamiiForums Tanzania Elimu ya unajimu

    Namba yako haipo kwenye watsap
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

    Karibu TICHA tupo pamoja unajua watu niwagumu sana kuelewa mpaka wa pate mitihani. Je kwa wa kristo mliopo kwenye jukwaa hili roho mtakatifu ni nani naomba majibu then nitaeleza uelewa wangu.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Hi Rakims. Naomba ni add kwenye darasa la watsapp namba yangu ni ±447837718078
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kuandika dissertation

    Asante kwa ushauri
  5. F

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuandika dissertation.

    Msaada unatakiwa jinsi ya kuandika dissertation ya Nutrition. Elimu ni Bsc Nutrition. Title ni Nutritional status of children in Africa, special reference to Burundi. Je nitaiandaa vipi?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kuandika dissertation

    Mie ni mwanafunzi Wa mwaka Wa tatu. BSC Nutrition. ninahitaji msaada Wa jinsi ya kuandika dissertation. Title yake ni Nutritional status of children in Africa,special reference to Burundi
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wilolesi mpo humu?

    Naomba kama mtakuwepo tukumbushane enzi zile za kuponda kokoto mambo ya jiwe wilolesi pia na mambo ya vikosi vya zamu. R-ip Kajiba kweli alitulea kijeshi sana.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ni nani huyu Cool 9 Jamani?

    Hivi shetani bado yupo hai maana alikuwa mtemi akienda dukani anawambia wampe bidhaa yeyote anayotaka bila fedha. Then anatimua zake
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ni nani huyu Cool 9 Jamani?

    cool 9 alikuwa ni mtu maarufu sana mkoa wa iringa miaka ya 80- 90 nakumbuka kipindi dada zangu wakiwa wanasoma secondary wakiwa wanasafari za disco alikuwa anawasumbua sana ila kunasiku sister alikuwa anatoka iringa hotel kwenye graduation cool 9 akawa anataka kumfanyia fujo sister wacha ale...
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

    je utamjuaje mwanamume anaetoka nje ya ndoa au mwananume mwenye vimada nje.
  11. F

    JamiiForums Tanzania tatizo la breeding

    tatizo la kutokwa damu ya uzazi bila mpangilio ambalo lina sababisha nisiweze kushika mimba.
  12. F

    JamiiForums Tanzania tatizo la breeding

    nilikuwa nimechoma sindano ya kuzuia ujauzito mwaka jana mwezi wa tano. ila nikawa naenda breeding kwa muda wa miezi mitatu bila kusimama. baada ya hapo siku zikabadirika kwa mwezi ninakuwa nina breed mara tatu. na siwezi kushika ujauzito ninataka kujua je ninatatizo gani.
Back
Top Bottom