Recent content by farida baruthy

  1. F

    Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

    Kaka nakupata vipi naomba msaada wako tuwasiliane. Nami nipo kwenye uhitaji wa haraka sana
  2. F

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Kinyerezi imekuwa sugu watu wameanza kuzoea maji ya visima.hakuna tangazo wala maelezo yeyote wanaona ni kawaida tu.huduma muhimu kama hii.kwakweli ndio mnafanya wananchi wawaze kubadili uongozi.
  3. F

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ni kwanini kinyerezi kibaga maji ni ya mgawo karibu miezi 5 sasa.kuna shida gani isiyotatulika? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. F

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Kwanini kinyerezi maji ni ya mgao.siku 3 kwa wiki Sent using Jamii Forums mobile app
  5. F

    Waandishi Clouds 360 wamshukia kama mwewe wakili Msando kwa kupotosha kuwa Arusha hali ni mbaya kwa Corona

    Huyu hassan ngoma amefanya wengine tuache kuangalia clouds.ana masifa sana yamepitiliza,ujuaji mwingi.sijui teuzi ndio anaziwazia.? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. F

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Inakuwaje kipindi hiki mvua zinanyesha,maji ni mengi kwenye vyanzo.watu kinyerezi tunapata maji kwa mgao wa siku 3 kwa wiki.hivi na janga hili bado dawasco mko nyuma kiasi hiki.ni aibu sana kwa kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  7. F

    Dar: Baada ya kudaiwa kuwepo kwa Ugonjwa wa mlipuko wenye dalili kama za Malaria, Serikali yakanusha kuwepo kwa mlipuko wa Ugonjwa huo

    Nimeumwa kuanzia ijumaa,leo ndio nahisi nafuu.homa kali sana,kikohozi hadi mbavu zinabana na mafua.nilipata hofu kubwa sana.nilichoweza kufanya nilianza dose ya ciproflaxin mg500.sambamba na menthodex syrup na panadol.kwakweli hali ilikuwa ngumu sana.nashukuru leo sijambo.muhimu tujitahidi...
  8. F

    Msaada nyumba ina mauzauza

    majini wamepata makazi.nyumba haitakiwi kukaa bila watu muda mrefu Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
  9. F

    Vidole vyangu havisomeki kwenye machine za biometric

    angalia aina ya mafuta unayopaka kama ni ua kulainisha sana ngozi inaweza kuwa sababu.wakati mwingine ama sabuni .jaribu kufua sana zinaweza kurudi.ila nimewahi kumuona mama mmoja ambaye hana kabisa hizo nilimkuta nssf na wao wanajua shida yake.NB kiutani watu wa namna hii ni wale born...
  10. F

    Uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri

    Kwahiyo aliyemteua nae alikuwa hajui kabla ya uteuzi kuwa alikuwa anafanyakazi gani?nilidhani cv hutumika kwenye teuzi.walipaswa kujua mapema lakini kuuliza alikuwa anafanyakazi gani kabla ni dhahiri sio yeye aliemteua.
  11. F

    Mliofiwa na mama zenu na nyie hili mlilipitia?

    Yeye alikupenda kwa dhati.na anaumia hukuwepo mazikoni wala hukiwahi mtembelea malaloni.kamtolee sadaka na uzuru kaburi ataridhika na kulala salama.Mwenyezi mungu ampe kila rehema .
  12. F

    Hivi wanaume wenye watoto, hasa wa kike mnaweza fanya hili.?

    Mzee atakuwa hana mke halafu anapenda vibinti vidogo.ameona mwanae akiona anawaleta home ni aibu.nafikiri hivyo.ninavyojua mimi kwa asilimia kubwa wababa huwa wanawapenda sana binti zao sio rahisi kuona anateseka akavumilia.
  13. F

    Mbeya: Mtoto atekwa na kunyongwa hadi kufa. Mtekaji alitaka mzazi auze nyumba amtumie hela Milioni 10

    Tuliambiwa serikali imekuwa kali kwenye taratibu za usaji.lakini sidhani kama makampuni yanafuata hizo taratibu.kila siku tunapigiwa simu na kutumiwa sms za utapeli.ina maana usajili wa hawa watu hauko sahihi.kama ungefuata utaratibu wangeogopa.nadhani iwepo sheria sasa ya wananchi kuyashtaki...
  14. F

    Nimemwona mtu anachomolewa simu, nimwambie?

    Kaka zetu mbona mnatuangusha sana.angekuibia wewe ungekaa kimya.sema umeogopa kupigwa na teja.mkiitwa wanaume wa dar mnachukia.hii stori labda iishie dar .wa mikoani wakiiona ndio utapata majibu sahihi.wewe ndio mmojawao wanaowaponza wengine kuitwa wanaume wa dar.kwahiyo unatetea wizi.daaah wala...
  15. F

    Meya wa jiji la Tanga ametia aibu ya kuanzia mwaka

    Aibu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom