Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,046
zamani nilikuwa najua ni story za kutungwa tu au chai lakini hii nimeshuhudia mwenyewe,ni hivi mzee aliamua kujenga kibanda ( nyumba) katika wilaya moja ya pwani nyumba ilijengwa kwa madhumuni kama tukitaka kwenda tuwe na mahali pakufikia bahati mbaya ile nyumba toka ijengwe hatujawahi kwenda tukaona isiwe kesi yasije kuwa mahame tukatafuta watu wakae ili pachangamke kidogo kilichowakuta wamefungasha virago wenyewe ndani ya week ni kwamba usiku wakilala wanapigwa makofi na kucharazwa bakora, juzi wamepashindwa wamerudisha funguo sio kwa bakora na makofi wanayopata,msaada jamani njia gani ya kuweza kufukaza hao viumbe ......
Yawezekana mzee aliwajengea hao viumbe wahishi humo, lakini ninyi mkaamua kuwadhulumu na kuwahanganya na watu, ndiyo maana hao viumbe wanawacharaza bakora kulinda himaya yao


