Recent content by FARC

  1. F

    MASHINE ZA BVR ZINAREKODI WATU 100 KWA SIKU ,je tutafika?

    Matatizo ya kawaida mbona mimi leo nimeandikishaa watu 110 huku sgd
  2. F

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Nimeanza kuona umuhimu wa baadhi ya vifungu vya cyber crime law, Mambo kama haya yanatakiwa kwenye vijiwe vya kahawa sio humu, huu ni mtandao mpana hata watu wa heshima wana access, so kupost vitu vya kipuuz kama hivi mh!
  3. F

    UKAWA PAWAKA: Mazungumzo ya Siri Yakijadili Nafasi ya Urais Yanaswa!

    Siku zote ukiwa na akili za kushikiwa hufiki mbali kweli nimeamini. Hivi ww mleta topic unazifahamu vizuri siasa za Tanzania au umejiunga nazo ulipokuwa chuo? Kwanza unabidi ujilazimishe kuelewa kuwa Dr. Slaa na Lipumba wote walikuwa wagombea 2010 kupitia vyama vyao. Na ni wazi pamoja na hujuma...
  4. F

    NEC: Hatuwezi kumvua ubunge Zitto bila taarifa ya Spika wa Bunge

    Usiwe mbulula soma 71.(1)(a) ikiwa litatokea jambo lolote ambalo "kama" asingekuwa mbunge lingemfanya asiwe na sifa za uchaguzi au uteuzi. Hivi wewe zitto asingedhaminiwa na chadema angekuwa mbunge? Sasa limetokea la kunyimwa dhamana wakati huu ambapo angenyimwa 2010 wakati wa uchaguzi zitto...
  5. F

    NEC: Hatuwezi kumvua ubunge Zitto bila taarifa ya Spika wa Bunge

    Mleta mada usikurupuke kumbuka 67.(1) (b) inataja sifa za kuwa mbunge kuna neno "ni" limetumika mwanzoni mwa hiki kifungu lina maana sana kikatiba sio tu mwanachama na awe amependekezwa, ina maana chama kina nguvu kikatiba vile vile suala hili limeanzia chamani ikosoe katiba ya chadema kama kuna...
  6. F

    Mbowe: Jk aungwe mkono na kila chama

    Kumbe kuna watu humu mabogus!Hivi JK akisema jambo jema asiungwe mkono kwasababu tu ni wa chama tawala? mbowe anapokuwa jukwaani anazungumza mambo ya kitaifa ambayo hata JK akiwa chamani anayapinga akitoka nje ya box anayakubali.kama mnafikiri siasa ni utani,matusi mkafanyie kwenye familia...
  7. F

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    nimesoma maelezo ya pande zote wahusika na wachangiaji. nimegundua vibaraka wa zitto msiotafakari kwa kina kujua source ya malumbano yalipoanzia Lema alitamka kwenye kikao cha wabunge wote bila kumung"unya maneno ila hakumtaja mtu zitto na vyombo vyake vya habari wakaibua lema alipoulizwa...
  8. F

    Naibu spika NDUGAI apinga vikali spika kutokuwa mbunge

    Ndugai ni goigoi wa uongozi!Angeanza kukataa kwanza mgombea binafsi kwasababu bungeni kunaweza kuwa na wabunge huru ambao hawafungamani na chama chochote ila hauwezi kuwa na daktari huru ambaye hana taaluma.Hivyo anajaribu kutuhadaa magreat thinkers! Bungeni kunaweza kutokea conflict of interest...
  9. F

    Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    sasa nimeamini yale maneno ya mbunge abas mtemvu kuwa kuna watu humu "wanafikiri kwa kutumia makalio".mbona clip ina doubts nyingi hata kwa sisi ambao upeo wetu mdogo. Mimi kilichonishinda sauti tu haisikiki,pia wa kuiweka hadharani clip hii angekuwa mwigulu nchemba maana alitangaza hadharani...
  10. F

    Kwanini Dr. Slaa hapendi kuhudhuria mazishi ya wasanii wetu?

    unataka dr. Slaa aende kama katibu mkuu wa chadema au kama raia mwingine?kwanini awe dr.slaa na asiwe dr. Bilaly,ndesapesa,mwigulu nchemba wengi tu hawahudhurii,ni bora akajipanga kwa ajili ya watz waliobaki sio mtu mmoja aliyeitwa na mungu japo kuhudhuria ni vema lakini sio lazima. Wanaokufa...
  11. F

    Napinga sehemu ya malipo ya Lema...

    Naunga mkono malipo kwasababu kwanza kutenguliwa kwa matokeo na yeye kukata rufaa kulimaanisha yupo kama hayupo wakati huo huo wananchi wa arusha walikuwa na haki ya kupata huduma kutoka kwa mwakilishi wao ambaye aliwekwa kizuizini kwa muda sasa walizikosa kwa muda wote huo sasa ni wakati wa...
  12. F

    Game on - CCM kukata rufaa ushindi wa Lema

    Hakunaga rufaa juu ya rufaa na mahakama ya rufaa ndiyo ya mwisho kimaamuzi.
Back
Top Bottom