Husika na mada tajwa hapo juu nimeamua kuanzisha biashara ya popcorn baada ya kuona mahali nilipo hakuna mtu anayejishughurisha na biashara hiyo
Shida yangu kubwa kupata ujuzi jinsi ya kutengeneza popcorn za chocolate
Nawasilisha kwenu mawazo yenu ni muhimu kwangu na nifaida kwa wengine...
Sio kwamba nimeambiwa inafaida sana
ili ufanye biashara ni vizur kutafut biashara ambayo mtaji wake utauweza swala la faidi hakuna biashara inayokosa faida hata kma utapata faid kidogo sio mbaya hiyo hiyo kidogo mwisho wa siku itakuwa kubwa
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Samahani wakuu eti ukitaka kuagiza mzigo mtandaoni kutoka HONG KONG hd huku TZ gharama zake zinakuwaje kwa mwenye kujua msaada
Mzigo wenyew ni [Heat press machine]
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.