Recent content by fantastic dude

  1. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras

    Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant about it. So ningependa kuwa enlightened, Dunia inaenda Kasi jamani. Your contributions would be...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha nyanya

    Nalima wilayani Mufindi mkoa wa Iringa,Mimi ni mgeni katika kilimo Cha nyanya,nililima Kwa mara ya kwanza mwaka Jana,na nilipanda DHAHABU F1,mavuno hayakiwa mabaya sana Kwa mtizamo wangu,Hivyo nataka kujifunza kuhusu mbegu tofuti Bora zaidi ya DHAHABU ili kuongeza tija, Asante
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha nyanya

    Ok,Asante sana Kwa elimu hii.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha nyanya

  5. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha nyanya

    Ok,Vipi Lakini kuhusu uwezo wa kukaa muda mrefu baada ya mavuno bila kuharibika?Ni ipi ni zaidi?,Namaanisha ni ipi Ina shelf life kubwa?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Toyota cami

  7. F

    JamiiForums Tanzania Toyota cami

    Ok,thanks!
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wajasiriamali mnaojihusisha na biashara ya chakula cha binadamu na vinywaji mnazingua sana

    Ni chanzo mojawapo Cha kichefuchefu na kutapika.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wajasiriamali mnaojihusisha na biashara ya chakula cha binadamu na vinywaji mnazingua sana

    Mamaaaaaa!.Haya niliyajua tangu kitambo,niliacha kula mgahawani kitambo,sio Siri wanazingua mno!
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha nyanya

    Kati ya nyanya aina ya DHAHABU F1 na tanzanite ni ipi Ina sifa nzuri?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Toyota cami

    Nina gari aina ya TOYOTA cami,gear box yake Ina shida,NAPATA WAPI gear box mpya na ni bei Gani?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya nyanya inafaa kulima msimu wa masika?

    Swali nzuri,majibu tafadhali,I'm anxiously waiting to hear!
Back
Top Bottom