Kituo cha mabasi Msamvu Morogoro nao hivyohivyo. Hawatoi risiti za tra wao wanatoa zile kama za Daladala maarufu kama vishina. Rais aliamrisha wafanyabiashara watumie efd lakini Msamvu wanafanya biashara wamegoma
Mwanamke yeyote hachungwi na mumewe hata kama hatoki ndani anachungwa na hofu ya Mungu (popote atakapokuwepo Mungu anamuona). Oa mwanamke yeyote ili mradi awe anampenda Mungu kwa dhati (sio kuigiza) huyo ataogopa kutenda dhambi ya ngono sio kwasababu hakutani na watu bali anamuogopa Mungu kwamba...
Rais wangu, Msamvu stendi mpya wenzako bado hawatoi risiti za EFD. Mwanzo tuliambiwa baada ya stendi kuanza kutumika zitakuwepo za EFD. Kwingineko kote hadi parking tunapewa risiti za EFD usipokuwa Msamvu tu...Msamvu wao ni Exceptional maana EFD haziwahusu, wao wanajiamulia tuwenyewe.
Katikati ya mwezi wa kumi, Waziri wa Ardhi Lukuvi akifanya ziara ya kustukiza ofisi za Ardhi Morogoro na kukuta Madudu ya hali ya juu kuhusu ukiritimba na Umungu Mtu wa baadhi ya maafisa ardhi ambao wamekuwa hawatoi hati za umiliki wa ardhi kwa wananchi. Pamoja na hatua mbalimbali alizofanya...
Nambieni wadau. Kuna incubator pc 3 zimebaki baada ya mauzo ya sabasaba na nanenane (mpya). Mayai 528 sasa ni 2100000 badala ya 2500000, na mayai 96 sasa ni tsh 600000 badala ya 750000, na mayai 72 sasa ni tsh 500000 badala ya 600000. Wahi, first come first saved.0713600071
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.