Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Arusha ,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo...
Kuna bosi mto wa mbu ana lodge sitaitaja jina iyo lodge bana mwenye nayo akiona booking ni chache anawalipa nusu mshahara kuanzia kwa manager hakuna mtu anafikisha. Lakin mbili na nusu yaani ni unyonyaji mtupu kwa mabosi wa hoteli jaman
Mimi Nina diploma ya travel and tourism, pia ninaweza kuongeza watalii *Tour guide * pia kuhudumia hotelini yaan service pamoja na kufanya usafi kama kufagia , kuchonga fance nafahamu poa Mimi ni dreva Nina leseni ndogo class D Naomba kazi kwenye sector izo Nina uzoefu wa kutosha
ndgu yangu kua na subira mimi kuna kazi niliomba mwaka jana mwezi wa tano wakaitwa interview ya kwanza mwezi wa tisa na tangazo la kuitwa kazini lilitoka mwezi wa kumi na moja hapo mwajiri alikua ni TAWIRI japo mimi sijawa shortlisted kwa kipindi icho lakini ni kwamba walikaa mda sana ivyo...
apana TANAPA ni shirika la kiserikali sawa lakini kimapato bado NCAA inawaongoza hao TANAPA mfano mtu ili aende serengeti asilimia kubwa wanapitia NCA na kwenye bajeti ya wizara NCAA anatoa asilimia kidogo kuzisaidia hifadhi ambazo hazijiwezi kimapato mfano wa hifadhi ambazo bado mapato yao yako...
mimi kuna watu wawili wa kwanza ni msajili veta gorowa ya babati anaitwa madam bayo, na mwingine anaitwa madam hawa ni mkufunzi wa driving pale veta ya manyara yaani hawa wamama mungu awajalie maisha marefu na ya baraka sana jamani yaani wanatoa huduma mpaka mtu unatamani kila siku upate shida...
ilo kweli maana mimi apa nilituma application tarehe 6/12/2022, na tarehe 8/12/2022 ikawa aproved, then tarehe 13/12/2022 nkaitwa kwenye interview ilifanyika tarehe 14/12/2022 uko arusha
yaani mimi nkifikilia iyo na nkatafakali na soko la ajira lilivyo gumu naona angalau niende zangu kusomea driving angalau niendeshe ata viongozi serikalini jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.