mmmmh me naaamini kwamba chama tawala hakuna msafi wote wapigamadili2 na kinachotokea saahii ni kufutana kwenye makundi yao kila mmoja anavutia kwenye kundi lake wote magamba wanajua wachokitafuta huko ikulu
Hivi kweli wa Tz bado wapun
wapumbavu kiasi hicho tangia uhuru mpaka sasa? sidhani make Lowassa haitakii mema nchi hii na hii ilisha ta biliwa na baba wa taifa kwamba muhogope mtu anaye toarushwa ili awe kiongozi miez hii Lowassa anagawa pesa kama njugu na alishaga mwambia askofu mmoja bukoba...
wanafunzi wa udom hawako vizuri kifikra make hakuna msomi nchi hii ambaye anawasaport ccm ambao wanamaliza pesa na lasilimali za nchi ambazo zinge tumika kuwapa mikopo chuoni then wana washabikia its a wonderful and shame on them na sasa hivi wame goma eti hawana mikopo ya kujikim miez mitatu na...
hivi kwanini chadema hamtakagikufanya ziara jimbo la Bukoba vijijini nawapeni ushauri tembeleen jimbo hilo mtalikosa bule nawakati kunawapiga kura wengi sana make sijawahi sikia mmefanya ziara yoyote huko
hivi wana jamvi mna fuatilia watu waliofyatuka ubongo yule mama hana akili timamu mimi wabunge wa ccm walio wengi nawaona kama wagonjwa wakutoa pointi sasa huyu mmother anajua akisema hivyo atateuliwa tena wakati dola ndo inashika dola
watahojiwa kivipi wakati wanalindwa shame on ccm govern kwamba tume inaona hakuna umuhimu wakuendelea kupoteza muda kwa kuhoji watu ilihali hawa chukuliwi hatua yoyote wote kwa pamoja wa TZ 2kae tukijua ccm yote imechafuka na hakuna msafi wote niblablaaa2 wana takakuendelea kuitafuna nchi hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.