Kama mambo ndiyo haya, kwa mtu aliyekuja CDM kutoka CCM makmruzuku hadi cheo cha Mlezi wa Chama kwa mikoa kadhaa, Leo amejitoa mnaona kama alikuja kutafuta ubunge, hafai kuwa kiongozi hata kidogo, ni mlafi na kadhalika. Kauli hizi zinasadifu 100% yale aliyosema Nyimbo mwenyewe kuwa CDM hakuna...