Acha usanii wewe!
Sehemu kubwa sana ya utendaji wa serikali za mitaa ni wa misingi ya rushwa.Nakushangaa unapowasifia polisi,TRA,mahakama na wengne wkt ukijua ulichokiandika jawali ndicho sahihi.Nani asiowajua watumishi wa TRA,mahakama na pia polisi?Hizo ni kati ya taasisi zinazoongoza kwa...