Recent content by Falconer

  1. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    Tuna ushahidi wa kutosha kuwa Mwenyekiti wa tume anapewa fidia na wale waliotangazwa kinyume na taratibu za kupiga kura. Nawajuwa wawakilishi na wabunge ambao wametoa mshahara wa miezi mitatu kwa mwenyekiti baada ya kutangazwa kushinda. Sikuona ajabu alipotamka maneno yale.
  2. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Luhaga Mpina: Sitaweza kukutana na Tume ya Rais Samia Suluhu ya Kuchunguza Matukio ya Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025

    Misimamo ni kitu muhimu sana. Mh. Mpina sio mtu wa kuongozwa au kufuata mihemko. Ana nidhamu katika masuala yote yanayo husu jamii yetu. sio mtu wa kuyumbishwa kama tunavyoona wengine katika jamii.
  3. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZEC yamtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzaibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar

    sio raisi wa kuchaguliwa bali ni wa kutangaziwa
  4. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Kwa hali hii, itabidi tuhakikishe matokeo yanatangazwa kutoka vituoni moja kwa moja. CCM, hawana njia ya kuiba kama itakubalika matangazo na matokeo ya moja kwa moja kutoka vituo vya majumuisho. Lakini, kwa kuwa CCM hawaitaki demokrasia ndio tunaletewa TUME ya UCHAGUZI UCHWARA wanao chukuwa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Zanzibar washerekea Miaka 4 ya Rais Mwinyi na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba

    kwa bao la mkono hamushindiki. Kwa zanzibar hamujashinda wala hamutoshinda. Na safari wa hii , tembo mumelijaza maji. Halinwiki.
  6. F

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Katavi, Mwanamvua Mrindoko: Tendeni Haki na Usawa kwa Vyama vyote kulingana na Kura vitakavyopigwa

    Tanzania lazima igeuke. Kwa mujibu wa uhalali wa kupiga kura, kura zihesabiwa na kutangazwa kutoka vituoni vya kupiga kura. Vyenginevo ni wizi.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari tumemchoka Hussein Mwinyi

    Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa. Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anatoa mahari au posa ili kumuoa mwanamke kindoa ni sheria, iweje kuhonga mwanamke kwaajili ya mapenzi si halali?

    kutongozana mitaani na kulalana ni kuzini. Drasa la dini ya uislamu inatafautisha Zina na kitendo halali kwa hiyo sio rahisi kufahamu ikiwa humo katika kundi.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anatoa mahari au posa ili kumuoa mwanamke kindoa ni sheria, iweje kuhonga mwanamke kwaajili ya mapenzi si halali?

    kwani tafauti ya kuzini na ndoa ni nini?. Ukizini unazaa na ukioa unazaa. Jiulize tafauti iko wapi?. Lazima uwe muumini kuweza kutafautisha. Vyenginevo tutakula visivo liwa. Tafauti ya kuchinja au kunyonga ndio ile ile tafauti ya ndoa na kulalana.. Tumia akili kidogo, maadili yapo wapi?.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Huu ni upotoshaji. 99% ya hao viongozi ni watu wa bara. Hao wote ukiangali ni watu waliokuja huku wakati wa mapindyzi na wapo huku na kule.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mtoto nje ya ndoa ana haki ya urithi?

    Kuna mila na tamaduni zetu za kiafrika ambazo zinaheshimiwa na sheria za taifa. Mambo ya ndoa na mirathi, kila kabila wana mila zao. Sasa, ukitaka kutawaliwa na sheria za serikali, unaenda kortini. Korti itafanya maamuzi. Lau, utafuata mila za kwenu basi mutagawanya urithi kulingana na mila...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Mirathi ya Kiislamu kwa mtoto wa nje ya ndoa ibadilishwe

    Asnte sana ndugu GOLD BOY. Mimi nakuomba usome zaidi kuhusu UISLAMU. Kuna mambo ambayo baba wa mtoto wa kando anatakiwa kufanya juu ya mtoto huyu. Mambo ya mirathi ni wakati mtu amekufa lakini akiwa hai kuna mambo anatakiwa atekeleze. Pengine utaelimika zaidi ikiwa utachukuwa muda ukapata mtu...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Hata huyo Shaka ukimfuatilia utakuta kuwa wamekuja zenji baada ya mapinduzi. CCM zanzibar, 98% ni watu wenye asili ya bara. Wazanzibari asili wamekataa kabisa masuala ya muungano ndio maana kila kukicha tunaletewa jeshi na nyimbo ya mapinduzxi daima.
  14. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana hawatakosea na tutashambulia kila kona kuzisaka na kuzilinda kura za CCM

    Kweli CCM ndio chama peke yake chenye nguvu, uwezo na dhamira ya kuitawala tanzania milele. CCM wana nguvu ya dola, wanawezeshwa na katiba tulionayo ya chama kimoja, na dhamira iliopewa nguvu na uddhaifu na ubobezi ulio wadumaza watanzania. Jamii ya watanzania ni maiti walio hai. Hata wasomi...
Back
Top Bottom