Recent content by fakii Gireshi

  1. fakii Gireshi

    Kinana azidi kukiimarisha chama itobo chalinze

    Mwenye macho haambiwi tazama hao ndo wapiga kura sio wale wanywa viroba
  2. fakii Gireshi

    Mkuu Wa Wilaya Anapokabidhi Majukumu Kwa Kinana

    basi kwa sababu una wasiliana na Rais kila ukipata jambo unampigia Rais? Uyo rais apigiwe simu na dc,rc,mawaziri,spika,rais wa znz,bado viingozi wa ccm bado viongozi wa ukawa wampigie huyo rais hana kazi??ukisikia wasaidizi ndo hao na kina kinana wakiwamo
  3. fakii Gireshi

    Mkuu Wa Wilaya Anapokabidhi Majukumu Kwa Kinana

    Wewe utakuwa hujielewi rudi class huyo dc anajielewa.ukisema tuondoe mfumo ya kichama ni sawa na kusema hakuna chaguzi za kuchagua vyama
  4. fakii Gireshi

    Mkuu Wa Wilaya Anapokabidhi Majukumu Kwa Kinana

    Tatizo la kujadili masuala ya siasa na wenye upeo mdogo ktk siasa.sasa hapo unaposema tupo vyama vingi hivyo vyama vingi vimeshinda chaguzi? Huyo katibu mkuu wa ccm ndiyo mwenye serikali ndio msimamizi kama serikali haifanyi kazi lawama kwa chama.kama isingekua Katibu mkuu wa chama Tawala nani...
  5. fakii Gireshi

    Tanzia: Balozi wa Malawi nchini Tanzania afariki ghafla

    Kampe salamu mama banda
  6. fakii Gireshi

    Japan: Dar could become an Industrial Hub

    Wakati unazichoka za mchina leta basi za kwako kwani za mataifa mengine ubavu wa kuzinunua huna hizo za mchina za 1.5 mil.unalia lia utaweza kununua pikipiki ambayo pikipiki 1 ni mil 12.au unaleta story za vijiwe va pombe.
  7. fakii Gireshi

    Vita vya Bashe na Kigwangala vyapamba moto Nzega

    Kama slaa alikosa urais kigwangala ataupata? Hayo siyo makalio kwamba kila mmoja anayo.
  8. fakii Gireshi

    Vita vya Bashe na Kigwangala vyapamba moto Nzega

    Kigwangala ana akili za kufikiria kisabuni nae anataka kuwa rais wa nchi ya kusadikika
  9. fakii Gireshi

    Wafutao ni wabunge wakitaifa wakigombea jimbo lolote wanapita

    Hao wanaweza kupata kura mikoa kama arusha mjini iringa sumbawanga kilimanjaro singida vijijini na mara kwingine hawawezi shinda
  10. fakii Gireshi

    CHADEMA ibadili slogan ya itikadi yake haraka kuelekea 2015

    Yaani tukijenga chama chetu chagadema itajifia yenyewe ji tukiomba msajili akifute tutakuwa tumekosea? Maana chama hiki kila utakapo enda madalali wake always huwa WACHAGA kwanini kabila zingine hawana nafasi kama wao?
  11. fakii Gireshi

    CHADEMA ibadili slogan ya itikadi yake haraka kuelekea 2015

    Na sie tusioataka chadema iwepo madarakani tuendeleze itikadi gani ili kama ikiwezakana hii chagadema ipotee kabisaa kwani itikadi zake si hatuzipendagi kwani ni za kazikazini sana
  12. fakii Gireshi

    Sugu amuumbua Waziri Magufuli

    Ili uwe mshabiki wa chagadema lazima kichwani uwe na VIROBA 3
  13. fakii Gireshi

    TAHLISO yaigomea CCM kwa UKAWA

    Hao wanatumika na Chadomo wasitupotezee muda.
Back
Top Bottom