Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,439
- 38,117
Bashe ni msomali Kinana ni msomali unatarajia Dr Kigwangalla atapata haki kweli.
Nahisi mama yako ndio atakuwa muhamiaji haramu
,
Nahisi mama yako ndio atakuwa muhamiaji haramu
,
Kigwangala ana akili za kufikiria kisabuni nae anataka kuwa rais wa nchi ya kusadikika
Kama Kikwete aliweza kwanini Kingwangallah ashindwe?
Kigwangala na bashe wote wagonjwa
Kama slaa alikosa urais kigwangala ataupata? Hayo siyo makalio kwamba kila mmoja anayo.
Acha watafunane, hivi huyo Bashe ashaukana uraia wa Somalia? Manake 2010 alizuiliwa kugombea eti "si raia wa tz"