Recent content by faki mwakisu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Asanteni kunikaribisha huku naomba ushirikiano

    Kwasasa umeokokaka na kwenda kwenye Chama cha Mizigo kweli Siasa za Bongo huzijui au Umemfata Mwigulu?
  2. F

    JamiiForums Tanzania MJADALA HURU:- Said Issa Mohamed

    Raya Khamisi
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hujuma Dhidi ya Zitto Kabwe hii hapa,Mungu anazidi kuwaumbua wanafiki

    Usiwe kama mwalukosi wewe mwaupete
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Maswala ya ndoa au kuwa na kimada hili jambo mumuachie mkewe Mbowe, kwa upande wangu hata Mbowe mumchafue vipi katu hawezi kufanana na Mizigo ya Chama Cha Mizigo au pia halitowafanya Wanachadema wampende Zitto au Watanzania waipende CCM
  5. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

    hoja zote zimejibiwa,mmeandika wenyewe halafu hamjui mlichokiandika,tafuteni chama mkatoe mawazo yenu hayo ya ajabu]
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kinachotokea Iringa, Tafsiri Yangu...

    Nilikuwa navutiwa sana na Makala za Maggid lakini kwasasa huwa napoma kijujuu ili nione upuuzi gani ameandika navyofahamu mm mtu ambaye background yake ni Iringa hasa lazima atakuwa mwanamapinduzi hata akiwa ndani ya CCM ila kama ni wakuja lazima awe kama Maggid
  7. F

    JamiiForums Tanzania SUGU; HONGERA sana WAZIRI WA VIWANDA KIGODA

    Joseph Haule? Mbunge wa Iringa mjini?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

    Safi maana wengine tayari walianza kupotosha
  9. F

    JamiiForums Tanzania Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

    Songoro kwani maprof wanatakiwa wawe na limitation of source of reference? Prof hakosei? Je prof. Hawezi kufika mahala akawa mchumia tumbo? Mm namshauri akipenda achukue ushauri asipopenda akiona Lema hafai kwa reference aache but only the matter of time
  10. F

    JamiiForums Tanzania Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

    Prof. Baregu tafuta hotuba ya Mh. G Lema aliyosema namnukuu 'ukiona CCM wameanza kukusifu inabidi ushtuke huenda kuna mahala umekuwa Boya' So mzee Baregu nakuamini sana naomba uendelee kutunza imani yangu kwako
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

    Uimara wa Chadema unasababishwa na uwepo wa Dr Slaa. Maranyingi mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe
  12. F

    JamiiForums Tanzania DR.ASHA-ROSE MIGIRO Amekubali kuwa mpishi wa siasa chafu za CCM?

    Dr Migiro kumbe hana tofauti na Anna Abdalah magamba kazini
  13. F

    JamiiForums Tanzania Member's introduction to all JF members/Utambulisho wangu kwa wana jamii wote

    No problem you just can be i my lil bro
Back
Top Bottom