Recent content by Fakharu

  1. Fakharu

    Serikali ya Tanzania inamkandamiza mfanyabiashara

    Kuna watu wanaongea kama wanajua biashara vile,raha ya ngoma uicheze mwenyewe victorserv
  2. Fakharu

    Serikali ya Tanzania inamkandamiza mfanyabiashara

    Hujui biashashara ndio maana unaongea hivyoo
  3. Fakharu

    Rais Kikwete ziarani ndani ya mkoa wa Ruvuma

    Asante kwa habari
  4. Fakharu

    Serikali ya Tanzania inamkandamiza mfanyabiashara

    Siku hizi naona serikali imeamua kumkandamiza mfanyabiasha kwa sababu imemuekea vikwazo vingi ambavyo vinaweza kumdudisha nyuma mfanyabiasha kwa mfano kunakulipia vitu vingi kama leseni,registration,fire extinguisher,health care,pango,machine ya tra yaani ni vitu vingi ambavyo vinaitaji pesa ...
  5. Fakharu

    Mh: Zitto kabwe tunakuomba msamaha sisi wana CHADEMA haturudii tena

    People power..Zitto rudi kambini tuwatelemshee mwaka 2015
  6. Fakharu

    Nauza scannia Malorry

    Hamna pesa nyie mbona kunawezenu wamenipingia simu na kesho wanakuja kuzichukua
  7. Fakharu

    Nauza scannia Malorry

    Kua kama uliopita stage nzuri mkuu mbona kwenye mahotel na mashule wakiwa wanafanya matangazo hawaweki bei zao wanaweka picha na number za simu,biashara haitaki hivyoo mkuu@kamanda moshi
  8. Fakharu

    Nauza scannia Malorry

    Hamna hizo mkuu
  9. Fakharu

    Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

    Nataka maoni ya bila uanachama
  10. Fakharu

    Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

    Naombeni mawazo yenu kwa upande zote,faida zake na hasara zake kwa manufaa ya wananchi
  11. Fakharu

    Nauza scannia Malorry

    Piga simu mkuu tuongee biashara
  12. Fakharu

    Nauza scannia Malorry

    Bei nzuri tuuu
  13. Fakharu

    Nauza scannia Malorry

    Nauza scannia 113 na volvo kwa bei nzuri kabisa,kwa maelezo zaidi pinga number hii 0787108200.Zipo tanga pia zipo kwenye ubora mzuri kabisa,zipo natrela zake
  14. Fakharu

    Yanayojiri bungeni: Tarehe 20 Machi, 2014

    Hivi kweli inakuingia kichwani bunge la tanzania kutumia lugha ya kigeni kingereza na wakati wananchi wengi hawana ufahamu wa kujua lugha hiyo.Leo katika bunge letu la tanzania kuna semina ya katiba lakini semina hiyo inatolewa kwa lugha ya kiengezea,hii semina je inawahusu wasomi peke au wananchi?
  15. Fakharu

    Nyumba za Polisi zaungua moto Jijini Tanga

    Ilikua sio mchezo vitu viliteketea vyote,halfu halafu zima moto wapo nyuma yake tuu,eti wanasema gari mbovu mpka wakaja provate zima moto ndio ikaanza kuzima moto
Back
Top Bottom