Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,327
zanzibar hiyo ni hoja ya cuf, na wanachotaka wao ni kuwa sio lazima bot ijuwe kila hela inayoingia znz hilo ndio dhumuni lao.si unajua mwarabu anaingiza hela sana pale kisiwani, kwa data za bot zanzbar ina uchumi bora kuliko tanganyika sasa wanaona bot ikiendelea kujua sio vizuri.hilo ndio linawatatiza. eac kesho kutwa tukiwa na sarafu moja tutakuwa na benki moja ya kumonitor sarafu hiyo sasa hiyo haina effect zaidi ya kujua mzunguko wa pesa kwa jumuiya na maendeleo yanayoatikana
Si unaona hapo? Underline ya kwanza kama inapingana na underline with red vile!
Hiyo red unaposema benki ya EAC itakuwa haina effect, kivipi?
Kwahiyo hii bot ya sasa inaeffect kwa Zanzibar? Effect gani hiyo?