Rais Kikwete ziarani ndani ya mkoa wa Ruvuma

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
Naona msafara wa Kikwete hapa Mbinga muda huu akielekea Mbamba Bay akiwa anaendeleza ziara yake mkoani Ruvuma.

Kwa hapa Mbinga JK atafungua stend mpya na ya kisasa na barabara ya lami toka Peramiho mpaka Mbinga Mjini.

============

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Nyumba za gharama nafuu za shirika la nyumba la Taifa (NHC) na Ofisi ya Tume ya kupambana na kuzuia rushwa(TAKUKURU) mjini SONGEA

attachment.php

attachment.php
 
naona msafara wa jk hapa mbinga muda huu akielekea mbambabay akiwa anaendeleza ziara yake mkoani ruvuma.
Kwa hapa mbinga jk atafungua stend mpya na ya kisasa na barabara ya lami toka peramiho mpk mbinga mjini.

bravoooo magufuli kila sehemu unapofika lazima jk afungue mradi wako wapi mwakyembee huna hata ka mradi kamoja angalau jk ajivunie kukuteua
 
mwakyembe ana maradi wa wauza sembe
 
ziara za rais na ufunguzi wa miradi ni ushahidi tosha wa utekelezaji wa sera safi za CCM, si kwamba ni bora tu, bali zinatekelezeka ...
 
iko tatizo kwenye apustea yako. yaani unajivunia liccm!!!!!!!
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Nyumba za gharama nafuu za shirika la nyumba la Taifa (NHC) na Ofisi ya Tume ya kupambana na kuzuia rushwa(TAKUKURU) mjini SONGEA

akizindua nyumba za NHC-songea.jpg

akizindua nyumba, songea.jpg

unnamed (12).jpgunnamed (13).jpg
unnamed (14).jpg

Si naskia walipatana kazi za uzinduzi wamuachie Makamu wa Rais? mbona anaingilia majukumu ya Dr. Bilal? hahahhhahahaaa
 
Naona msafara wa Kikwete hapa Mbinga muda huu akielekea Mbamba Bay akiwa anaendeleza ziara yake mkoani Ruvuma.

Kwa hapa Mbinga JK atafungua stend mpya na ya kisasa na barabara ya lami toka Peramiho mpaka Mbinga Mjini.

============

JK mtu wa kazi, acha apige mzigo
 
iko tatizo kwenye apustea yako. yaani unajivunia liccm!!!!!!!
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Huyu mzee binafsi namkubali sana, mambo ya liccm n.k tuwaachie wanasiasa ndo wanajua faida ya kunangana.
 
ziara za rais na ufunguzi wa miradi ni ushahidi tosha wa utekelezaji wa sera safi za CCM, si kwamba ni bora tu, bali zinatekelezeka ...

Kweli kabisa, huyu mzee tutamkumbuka sana.
 
Hivi muheshimiwa amekonda ama anavaa makoti makubwa tu?

U boyz tu man siku hizi kwishiney, naona anatumia tupia tu kama kajikatia tamaa vile
He is 64. Hata wewe ukibahatika kufikisha huo umri utakuwa umechoka. Unaona tangu yalipompata yale ya Jangwani mama Salma hachezi mbali.
 
Hayo majukumu unayaonaje? anaumiza kichwa kuwaletea maendeleo watanzania.
 
Mkuu maendeleo yapi? Ama kwenda kutukopea world Bank na kutuletea Terrence?

Rais Obama mbona bado ni smart, ama hana majukumu kama mkuu wetu?
 
He is 64. Hata wewe ukibahatika kufikisha huo umri utakuwa umechoka. Unaona tangu yalipompata yale ya Jangwani mama Salma hachezi mbali.
Kweli mkuu ila hata Rais Mugabe 90s lakini bado anatoka smart,

U smart na age wapi na wapi?

Yeye kajikatia tamaa tu.
 
Unatumia mili 500 kuzurara na kupiga picha kwenye project za kibiashara na zisizo na economic stimuli to the majority... Btw kuna ulazima gani kugharamia ziara non sense kama hizo huku uchumi wa jamii ukidorora hivi..!
 
Back
Top Bottom