Serikali ya Tanzania inamkandamiza mfanyabiashara

Serikali ya Tanzania inamkandamiza mfanyabiashara

Fakharu

Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
60
Reaction score
2
Siku hizi naona serikali imeamua kumkandamiza mfanyabiasha kwa sababu imemuekea vikwazo vingi ambavyo vinaweza kumdudisha nyuma mfanyabiasha kwa mfano kunakulipia vitu vingi kama leseni,registration,fire extinguisher,health care,pango,machine ya tra yaani ni vitu vingi ambavyo vinaitaji pesa .

Sasa hiyo serikali haijui kama unapata faida shilling ngapi?.Inakua kama upo nchi sio yako.
 
Haijui unapata kiasi gani coz hulipi kodi,wa-tanzania wezi,kila mfanyabiashara anakwambia hamna faida ,mbona haacha na kuhamia kilosa kulima,walikuwa wanajiita machinga baada ya karume kuungua kumbe alikuwa na mtaji zaidi ya M.200,Hivi bila kulipa kodi nchi iendeshwe vipi?Mbona zaka na sadaka mahekaluni mnatoa?Lipa kodi kwa maendeleo yako acha ujinga wa mapepo na majini bahari
 
kwa nchi za africa mashariki Tanzania ndio inaongoza kwa kuwanyonya wafanyabiashara na wenye viwanda.
mfano hapa mwanza kuna maji ya lita moja unusu yanaitwa rwenzori yanauzwa 1000 na yametokea uganda yamelipiwa kodi na usafiri.ila ya gachuma yanazalishwa 10 km toka city center yanauzwa 1100 shangaa hiyo wakuu
 
uganda bidhaa ni bei rahisi kuliko tz na hawana bandari ndio maana hawaji kununua kwetu ila sisi ndio tunawapelekea
 
Hapo ndipo ninapo choka na nchi yangu. Wafanya biashara walnalia, wafanyakazi wanalia kwa makato lukuki na mshahara kiduchuuuu.
Nikiyawaza hayo nakosa kupata picha wapi serikaliyangu itawapeleka hawa wasomi wetu na vijana wa leo.
 
Haijui unapata kiasi gani coz hulipi kodi,wa-tanzania wezi,kila mfanyabiashara anakwambia hamna faida ,mbona haacha na kuhamia kilosa kulima,walikuwa wanajiita machinga baada ya karume kuungua kumbe alikuwa na mtaji zaidi ya M.200,Hivi bila kulipa kodi nchi iendeshwe vipi?Mbona zaka na sadaka mahekaluni mnatoa?Lipa kodi kwa maendeleo yako acha ujinga wa mapepo na majini bahari

Hujui biashashara ndio maana unaongea hivyoo
 
Kuna watu wanaongea kama wanajua biashara vile,raha ya ngoma uicheze mwenyewe victorserv
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom