Huyo mganga anamalizia muda wake, kachaguliwa na wananchi yeye anaenda kuwakilisha waganga wa kienyeji. Mbunge anayesema mafuta yapandishwe bei ili sukari ipunguzwe hawatakii mema wananchi wake.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeanza ziara zake rasmi za kukutana na wanachama katika jimbo hilo kwa lengo la kukagua uhai wa chama, pamoja na kufanya tathmini ya uchaguzi wa mwaka Jana 2015. Ziara hiyo iliyoongozwa na viongozi wa jimbo pamoja na aliyekuwa mgombea wa ubunge...
Na: Jafary Ndege:
Mratibu Chaso Mkoa~Morogoro
[emoji117]Leo nimebahatika kwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa Mkoa Polisi Morogoro baada ya kutuita Viongozi wa CHADEMA Mkoa na Wilaya kuzungumzia Mahafali ya Chaso Mkoa yaliyokuwa yafanyike kesho tarehe 25/06/2016 ambapo Mgeni Rasmi ni Mhe. Edward...
Tafadhali mtoa Mada, naomba jina la LOWASA liwe linaandikwa kwa herufi kubwa, maana watanzania wanamkumbuka sana kipindi hiki ambacho taifa linakosa dira sababu ya baba Jesca
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.