Recent content by FAKE NEWS

  1. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kampuni ya Umeme ya Kalpataru: Vigogo wa Tanesco na wizara ya Nishati matatani

    Mheshimiwa Rais Magufuli aliposema tuendelee kumwombea hakukosea kwa kweli Huku anahangaika na jinamizi la IPTL, kule Tanesco watu wake tayari na wanaendelea na yao na wanapiga kama kawaida huku wanajua hii kampuni na rushwa ni sawa na samaki na maji Kiasi makamau wa rais wa hii kampuni...
  2. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    abuu mbange anaingia vipi kwenye huu uzi wa mussa mzinifu?
  3. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania CAG mstaafu, Ludovic Utouh aipamba Serikali ya Magufuli..

    dedi yake PASKO
  4. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Magufuli: Wananchi hatutaki Passport za rangi ya blue

    Hivi ni nani aliyekuja na wazo la passport ya rangi ya blue? Wazo hilo alikuja nalo nani? Kama ni passports za Africa au Africa Mashariki je kwanini hakukufanyika consultation kujua kama hili wazo litapita? Halafu hiyo rangi ya blue ni kiashiria cha nini hasa? Kwani rangi ya kijani ina...
  5. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Hii SIRI ya deni la nje litatuumbua na kuangamiza Taifa

    alaaa kumbeeee
  6. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete

    alaaaa kumbeeee
  7. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Said Bakhressa anasubiri nini kumtosa Tido Mhando?

    Ki biashara Tido sasa ni liability. Bakhressa atakuwa anakumbuka jinsi gani Mkapa alivyomfanyia mwaka 95/96. (watoto wengi wa JAMII FORUMS mtakuwa hamjazaliwa bado) Sidhani kama ataendelea kumbeba Tido ambaye ni wazi serikali ya Dr. JPM inamwona mkorofi Bakhressa naye alituhumiwa na serikali...
  8. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Hebu tuchambue hii Mikataba ya siri ya Serikali ya Tanzania & China

    mwaka wa pili huu
  9. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli hakuenda Davos mwaka huu?

    JK kaenda kumwakilisha
  10. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kampuni za Mchechu ndio zinajenga nyumba za NHC?

    Sasa naamini JF ni subsidiary ya TISS
  11. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Bado ana jamaa wa TRC NSSF THA CAG wa zamani...TISS JWTZ na kwingineko Hafi njaaa
  12. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    JF Archives kuliko Google....
  13. FAKE NEWS

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Swazi ....
Back
Top Bottom