Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,096
Anakumbukwa kwa utendaji kazi wake makini ambao ulipelekea kuibuka kwa kashfa nzito za ufisadi bungeni... Bwana Utouh anasema anaridhishwa na namna serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. Magufuli inavyosimamia uwajibikaji ambao ni chachu muhimu katika kupambana na rushwa...
Amesifia ongezeko la kodi, nidhamu ya kazi, mapambano dhidi ya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka...
Akumbushia suala la watumishi hewa na namna alivyoshauri kipindi akiwa CAG lishughulikiwe coz lilikuwa linapoteza mapato..
Ninachojiuliza.. hawa vigogo hawaoni challenges za uongozi wa sasa? Mbona hawazigusi kabisa zaidi ya kusifia tu?