Kwa kiac upo sahihi.,ila hapo kwenye neno *ushamba* cyo,...kwa kweli wakurya tunaweza kuchukuliwa km washamba ndiyo ila changamoto kubwa huku ni kuwa *mwamko wa elimu kwa jamii nyingi za kikurya ni haba sana*,kwa7bu wazee wetu wengi na ndugu wengine hawakusoma,hata waliofanikiwa kwenda shule...
Salamu sana waɗau wa jukwaa hili.Maɗa hapo juu yahusika...naomɓa tu kufahamu kuwa ni kwa nn Tanzania One f6 wengi huwa ni wale wa PCM kwa upanɗe wa sayansi??...kwa nini wasiwe wale wa PGM,EGM,PCB,CBG,CBN??
NAWASILISHA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.