Ijue njia utakayotumia kupaa (Kwenda against Gravitational Force)

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,930
2,000
Nimesoma weeeeeeeee,nikihis Isack Newton kafufuka,nilipooona tu Bwana.... Nimetimua mbio hizo hapa nipo getini kwa ustadhi Gwajima.
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
6,007
2,000
Kwa hiyo ukishamwamini Yesu utapaa kama yeye? Hizo ni imani ambazo hazina mashiko, utaendaje kinyume na gravitational force? Kwa hiyo Mungu ana upendeleo kwani wanaoamini Yesu ni mtoto wake watapaa!! Ambao hawaamini aliwaumba ili wasipae?? Pure imagination, amini katika gravitational force, achana na visivyoeleweka
 
monmoshi

Member
Mar 16, 2017
85
95
Habari za wakati huu wakuu wa Jamii Forums?

Wengi wetu tunafahamu ni kwa kiasi gani tunahitaji kupaa kwenda juu, lakini kutokana na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu tunajikuta tupo pale pale ardhini!
Hii inatokana na nguvu ya uvutano ambayo inavuta vitu na watu at the center of the Earth.

Sio kosa ku aim high japokuwa ni vigumu kufika pale juu unapopahiaji.
Ila kuna mbinu ninakupa itakayoweza kukufanya upae na ufike pale unapopataka.

Kwanza lazima tutambue kuwa Gravitational force ipo na inafanya kazi ya kuvuta vitu kwenye centre ya Dunia.
Hivyo inahitaji nguvu ya ziada ili kuweza kuizidi hii Force ili uweze kupaa.

Kama tujuuavyo dunia ina mambo mengi ambayo yanakuvutia uendelee kubaki hapo ulipo tukianzia Anasa na starehe, shida mateso na karaha na mengineyo, kiukweli hivi vitu ndivyo vinaturudisha chini wengi wetu ambao tunataka kupaa yani kuwa juu.
Kwa mfano tukiangalia hata Shetani mamlaka yake yapo huku Duniani ambayo anazidi kuchochea mambo ambayo yanazidi kupull jitihada zetu.

Kuna wengi wamejitahidi kuruka lakini wakaishia kuvunjika na wengine kufa kabisa kwa kuwa hawakujua ili uende juu unahitaji nguvu kubwa sana itakayoishinda Gravitational force.

Sasa mbinu ni kwamba nguvu ya kuruka na kufika juu iko ndani yetu. Yani nikimaanisha kile tulichonacho ndani yetu tukikiweka positive kinaweza kuishinda gravitational force.

Bwana Yesu alivyopaa kwenda mbinguni alikuwa ana nguvu kuu iliyomwezesha kupaa. Na pia nguvu iyo tukiweza kuifufua au kuikarabati hakuna chochote kitachotushinda katika jitihada zetu za kupaa.

Niwe muwazi Mungu Baba tunasadiki kuwa yupo mbinguni na wengi wetu tunaamini mbinguni ni juu yani juu Mbinguni. Hivyo yatupasa tuyaishi yale yote aliyoyaamuru Baba Mungu ili tuweze kufika kwake.

Yani kwa lugha nyepesi Yesu ni njia, na njia aliyoitumia Yesu kupaa ndio hiyo hiyo inapasa tuitumie ili tuweze kupaa na kuishinda Dunia na vivutio vyake.

Asante kwa kusoma wakuu
Asante sana, mambo yote ni kujitahudi kupaa tuu, atherwise maiaha siyo dili
 
Yales

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
517
500
Umeandika nini Boss unachanganya Science (Fact) na religious (Fiction/Belief) Hii ilifaa forum ya dini apa sasa unawaletea Ma GT wadiscuss ili hali Umeji limit na Bwana yesu ambae huna hata uhakika na kupaa kwake, Mimi nilijua unaleta fact or scientific investigation kumbe porojo za dini...Pathe*ic
 
Yales

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
517
500
Kuna watu wakisikia Bwana yesu au mtume hawataki kujiongeza zaidi ya kukubali tu hata umwambie ale nyasi bora umemtajia majina ya hao mtume na yesu basi atakula
 
pleo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
2,885
2,000
hii imeandikwa na mwanasayansi anayeamini katika simulizi zisizo na mantiki ya kisayansi!
Habari za wakati huu wakuu wa Jamii Forums?

Wengi wetu tunafahamu ni kwa kiasi gani tunahitaji kupaa kwenda juu, lakini kutokana na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu tunajikuta tupo pale pale ardhini!
Hii inatokana na nguvu ya uvutano ambayo inavuta vitu na watu at the center of the Earth.

Sio kosa ku aim high japokuwa ni vigumu kufika pale juu unapopahiaji.
Ila kuna mbinu ninakupa itakayoweza kukufanya upae na ufike pale unapopataka.

Kwanza lazima tutambue kuwa Gravitational force ipo na inafanya kazi ya kuvuta vitu kwenye centre ya Dunia.
Hivyo inahitaji nguvu ya ziada ili kuweza kuizidi hii Force ili uweze kupaa.

Kama tujuuavyo dunia ina mambo mengi ambayo yanakuvutia uendelee kubaki hapo ulipo tukianzia Anasa na starehe, shida mateso na karaha na mengineyo, kiukweli hivi vitu ndivyo vinaturudisha chini wengi wetu ambao tunataka kupaa yani kuwa juu.
Kwa mfano tukiangalia hata Shetani mamlaka yake yapo huku Duniani ambayo anazidi kuchochea mambo ambayo yanazidi kupull jitihada zetu.

Kuna wengi wamejitahidi kuruka lakini wakaishia kuvunjika na wengine kufa kabisa kwa kuwa hawakujua ili uende juu unahitaji nguvu kubwa sana itakayoishinda Gravitational force.

Sasa mbinu ni kwamba nguvu ya kuruka na kufika juu iko ndani yetu. Yani nikimaanisha kile tulichonacho ndani yetu tukikiweka positive kinaweza kuishinda gravitational force.

Bwana Yesu alivyopaa kwenda mbinguni alikuwa ana nguvu kuu iliyomwezesha kupaa. Na pia nguvu iyo tukiweza kuifufua au kuikarabati hakuna chochote kitachotushinda katika jitihada zetu za kupaa.

Niwe muwazi Mungu Baba tunasadiki kuwa yupo mbinguni na wengi wetu tunaamini mbinguni ni juu yani juu Mbinguni. Hivyo yatupasa tuyaishi yale yote aliyoyaamuru Baba Mungu ili tuweze kufika kwake.

Yani kwa lugha nyepesi Yesu ni njia, na njia aliyoitumia Yesu kupaa ndio hiyo hiyo inapasa tuitumie ili tuweze kupaa na kuishinda Dunia na vivutio vyake.

Asante kwa kusoma wakuu
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
6,007
2,000
Si mpaka uamini Yesu ni mwana wa Mungu ili uweze kupaa? Mimi nisiyeamini hivyo kupaa kwangu ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano? Basi maadamu najua mbinguni ni mahali popote sio lazima kupaa. Nitapaa chini kwa chini. Ni some zuri kwa wanaoamini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom