Recent content by faiza kasomo

  1. faiza kasomo

    Besaro

    Habarj za leo?
  2. faiza kasomo

    Hello

    Poa kwako je?
  3. faiza kasomo

    Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

    Haiwez kula kwa diamond hata siku moja asharefuka kifedha hadi kipaji mapedeshee wote wa serkali wabamjua wewe anakujua nani kwa hivyo ulivo hata akifall hawez kufanana na hali yako
  4. faiza kasomo

    Ubalozi wa Princess Tiffah uliomnufaisha mamilioni

    Huyo ndo mwanamme aliyejiandaa kuwa baba sio wengine wanazaa bila kujua watawafanyia nini wanao ni wanaume wachache sana wa kitanzania wenye akili kama diamond so diamond keep on going we ni challenge kwa wanaume wengine hasa wasanii
  5. faiza kasomo

    Kwanini Wanawake wengi wanaojiuza wana sifa hizi?

    Hiyo ni biashara kama biashara nyingine me nahic labda wanaowafuata na kulala ndo wangeacha haraka hiyo ndo itakuwa suluhu ya kukomesha machangudoa
  6. faiza kasomo

    Mmh sijui nimwambie! Naogopa atalipokeaje

    Mwambie hata kama atapanic but ukweli awe anaujua kiikweli distance zinachangia kuharibu ndoa za watu
  7. faiza kasomo

    Nawachukia wanaume

    Huyo mwanamme ni mdogo kimapenzi alichelewa kubarehe xo unamtake ka alivo
  8. faiza kasomo

    Hivi wanawake, inakuwaje unachora tatuu ya jina la mwanaume kabla hajakuoa?

    Tatizo wapenzi wengi siku hizi wanadanganyika na swaga za mdomoni hawafikir baadae
Back
Top Bottom