Acha mawazo ya kizamani, sababu umeona hapo ni mama wa nyumbani unadhani mi ni std 7 eeh nina elimu yangu ya kutosha sijataka kuajiliwa nafanya biashara zangu ikiwemo hii huku namalizia phd yangu hapo mliman. Una swali?
Mimi ni mama wa nyumbani nafanya biashara ndogo ndogo sasa kamtaji kangu kamekua kidogo nataka nifanye biashara ya catering services hapa Dar maana ni kitu ambacho nimekuwa nakitamani kukifanya muda mrefu.naomba ushauri kwa yeyote mwenye experience ya hii biashara nataka hasa kujua changamoto...
Huo ndo uwanaume, wakati mwingine wanawake tunajiendekeza tu hamna cha sababu ya mimba wala nini. Mi mimba zangu zote sijafanya ujinga huo unamsumbua mtoto wa mwenzio hivyo kisa nini? Mimba sio ugonjwa bwana
Yaani ni laana, iliyopitiliza halafu ni watu wazima sijui wanaifunza nini jamii mi nimewaona hapa tangi bovu na walitokea kawe yaani wapo uchi kabisa. Mungu atusamehe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.