Recent content by Faithful girl

  1. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Kazi kazi kazi

    K
  2. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliekomaa anahitajika fasta.

    Yah hajawa specific
  3. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliekomaa anahitajika fasta.

    Alokomaa sura au?
  4. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Jamani Tai zinapatikana, karibuni

    16000 kwa 20000 rafiki
  5. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Jamani Tai zinapatikana, karibuni

    Yes
  6. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Jamani Tai zinapatikana, karibuni

    Ni tai nzur kutoka Uturuki na UK ..ziko high quality na material zake n ngumu... Hutajuta kuwa nayo. Tunapokea orders kwa shughuli mbali mbali hata maofisin ,kanisan...nk. Bei n nafuu na karibun sana Kwa unaehitaj karibu PM ASANTE
  7. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dada anatakiwa haraka sana!

    Viip tena s ulimpata? What happened?
  8. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Mimi ni bint wa miaka ishirini!na mpaka hapa nlipofikia sijawah kupata upendo wa baba yang mzaz ingawa yupo hai! kiukwel inauma sana na sometimes nli kuwa hata nalia peke yang kila nkifikiria fursa nying ambazo nmezikosa maishan licha ya kuwa na nia ya kubadil maisha yangu hasa upande wa ELIMU...
  9. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wanaJF; Masikio yangu yanaunguruma kwa ndani

    hapana ,hakuna uchafu wowote ila shda Ipo kwenye mishipa ya faham
  10. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wanaJF; Masikio yangu yanaunguruma kwa ndani

    Asante mkuu kwa kujali.nmeenda ekenwa hspt Leo na nataraj kuanza doz Hv karibun
  11. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wanaJF; Masikio yangu yanaunguruma kwa ndani

    Asante kwa ushauri mkuu
  12. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wanaJF; Masikio yangu yanaunguruma kwa ndani

    Asante nyltafanyia kaz
  13. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wanaJF; Masikio yangu yanaunguruma kwa ndani

    npo dar es salaam mkuu
  14. Faithful girl

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wanaJF; Masikio yangu yanaunguruma kwa ndani

    Asante mkuu.daktar specialist was masikio ntampata wap
Back
Top Bottom