Recent content by Faith21

  1. F

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, aweze kumtunza mtoto wake mwenye ulemavu

    Yupo moro, Ana certificate ya mipango, anahitaji kazi halali itakayomuingizia kipato chochote
  2. F

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, aweze kumtunza mtoto wake mwenye ulemavu

    Mungu ndiye muweza wa yote
  3. F

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, aweze kumtunza mtoto wake mwenye ulemavu

    Kuna dada mmoja anamtoto mlemavu wa mguu, mtoto Hana mguu mmoja, huyu dada amesomea certificate ya mipango ,mwanaume aliyemzalisha alimkataa alipojifungua tu Mtoto mlemavu, anaomba msaada aweze kupata kazi ili aweze kumuhudumia mwanae, kila mwaka mtoto anatakiwa abadilishiwe mguu bandia, hali...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka

    Nashindwa kukutext pm
  5. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka

    Nimejaribu sana kumtafuta huyu ,bila mafanikio,
  6. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka

    Mtoto yupo morogoro,Hana mguu mmoja, anatembelea gongo ,sasa anazidi kuumia ,anesimama hadi masomo haendi shule ,yupo darasa la nne, anaishi na babu na bibi yake tu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka

    Habari ndugu zangu, mwenye mawasiliano ya malisa ,naomba anisaidie ,Kuna mtoto anachangamoto kubwa anahitaji msaada wa haraka,ni mlemavu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    ~MWANAMKE JASIRI~ [emoji673]Ni mcha Mungu, mwanamke huyu humwambii chochote kuhusu Mungu, anakiwango cha kumpenda Mungu cha hali ya juu, kwenye mambo yote yanayomhusu Mungu yupo mstari wa mbele always, nothing she does bila kumtanguliza Mungu, Ibada zote yumo bila kuchelewa and she writes...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Je, mwalimu huyu ataweza kupata msaada wa uhamisho wa dharura?

    Asante kwa ushauri, lakini mtoto anashida kichwani ,,na hatembei mpaka sasa
  10. F

    JamiiForums Tanzania Je, mwalimu huyu ataweza kupata msaada wa uhamisho wa dharura?

    Habari zenu, Naomba kufahanishwa ,kuna mwalimu ameajiriwa mwaka jana ,sasa mwanae anasumbuliwa na Afya ,mtoto ana umri wa mwaka mmoja, , hospital amegundulika anashida kubwa, kwahiyo ameanzishiwa matibabu na anatakiwa kua anahuzuria klinic hospital kubwa. Na yeye yupo kijijini , kwahiyo...
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Nipo hapa karibu
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kuna muuguzi wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, ni mfano wa kuigwa

    Walimwengu mna mengi,lakini mimi nimeongea nilichoguswa,
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kuna muuguzi wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, ni mfano wa kuigwa

    Sijui kama ameolewa au ,ila ninachofahamu ni kuwa hana mtoto
Back
Top Bottom