Recent content by FairPlayer

  1. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ila wabongo hatuna akili. Ukisoma humu unagundua hilo kwa uwazi kabisa 6 pages zimeandikwa pumba tupu
  2. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Hawa walitenda kosa. Hata kama kulikua na figisu lakini KOSA lililowapeleka jela walilitenda.
  3. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Flydubai Boeing crash in Rostov-on-Don, Russia kills all 61 on board!

    Watakua ukawa hao wamehujumu
  4. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Atakua amekufa au amekua tajiri.. Lol
  5. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Pamoja na yote Condor tulikua tunamzunguka na kuendelea ku post mpaka Mwanakijiji akatupa uhifadhi wa muda..
  6. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Sasa ilikusaidia nini kaka?
  7. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Yes. Sijui yupo wapi?
  8. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Yule kaka yako Ngabu the nini yupo wapi
  9. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    RajPatel na kiingereza chake na kukashifu waafrika!!! Una miss kutukanwa?
  10. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Nguruvi3 mie nipo ila nimekua mzee sana kaka
  11. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Ushahukumu kabla hamjampa jamaa nafasi ya kujitetea. Tupical wabongo. Kazi ipo. Basi kaa hivyohivyo endelea kuota. Hamna kipya wala lolote kitakachofuata
  12. FairPlayer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

    Dah tumetoka mbali. KIRANGA yupo?
  13. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Bwana Phil Nadhani pia kipindi cha BCS internet ilikua kwa watu wachache na waliokua nayo walikua ni wanaojielewa kidogo. Sio kama sasa. Nani anamkumbula Me against Kikwete? Ingawa alibadili jina baadaye?
  14. FairPlayer

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

    Mzungu kashachomoa. Hizi habari sio za kweli
Back
Top Bottom