Nashangaa huyu Mtu mpaka sasa yupo hapo. Patrobas Katambi tuliwaambia hapa mkadharau. Kazi ya Makene ni moja, kuhakikisha habari za CHADEMA haziwafikii wananchi kwa wakati.
Safari hii mnajua hamtakuwa na coverage na vyombo vya habari, lakini bado mmepwaya kwenye uwanjaa huu.
Nadhani hata yeye amekwisha lijua hili. Watu wataumizwa. Naona sheria inapelekwa bungeni kwa kuweka kinga kwa Rais, Makam, Spika, Jaji mkuu na PM kutoshtakiwa pale watakapo vunja katiba.
Ni dhahiri sasa mambo hayatakuwa sawia huko mbeleni. Sera tulizo nazo hazioneshi dalili za matumaini ya uchumi wetu.
Kwa sasa Serikali imefikia kikomo cha makusanyo, na hali inavyoendelea ukizingatia mdororo wa uchumi uliosababishwa na janga la Corona, naiona grafu ya makusanyo ikishuka kwa...
Inasikitisha sana kuona watu ambao wameweka rehani maisha yao katika kupima virusi hivi wakisimangwa na kukejeliwa.
Kiukweli sikupendezwa na hotuba ya Rais kuwasimanga wataalam hawa wanavyo pambana muda wote. Ugonjwa huu umejaza hofu watu, tunasikia watu Nchi za wenzetu wanavyokufa. Lakini...
Wanabodi,
Asalam aleikum!
Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.
Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.
Katika clip hii ambayo Mama mmoja...
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Hili ni tatizo sana, urasimu mwingi.
Wizara inakusabya fedha nyingi kwenye minada na machinjio, lakini jaribu kutembelea minada yetu na machinjio.
Anashindwa hata kuomba bajeti ya kuboresha minada? Hivi wizara inakaa inavumilia harufu kali zinazotesa wananchi kwenye machinjio?
Nasikitika...
Imefika wakati sasa acha tuseme ukweli.
Katika kipindi cha miaka 4 ya awamu hii, hii ndio wizara ambayo hata ikiulizwa imefanya nini huwezi pata majibu zaidi ya blaa blah.
Wizara hii kwa miaka yote hii, imepata Waziri asiye na uwezo wa kuongoza wizara, asiye na dira, hana mipango ya kuikuza...
Hakuna biashara pasua kichwa kama kujihusisha na biashara hii.
Ukianza biashara ya kuchakata bidhaa za mifugo kama maziwa na nyama, kuuza wanyama kama ng'ombe na wanyama wengine basi jua utafilisika tu.
Ni wafanyabiashara wachache sana wanaofaidika na biashara za mifugo na bidhaa zake, na wengi...
Mkuu,
Kuna taasisi zingine za serikali zina marupurupu kiasi kwamba unaweza usiguse mshaharaa..
Hata hivyo, anaweza kuwa kajipatia mali hizo kupitia biashara zake.
Watumishi wa Umma wa ngazi kama yake huwa hawaorodheshi mali zao. Wanaopaswa kufanya hivyo ni viongozi wa kubwa serikalini
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.