Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.

Paschal nadhani ungetuambia na mengine mengiii alofanya ,sabab wengine hatujaangalia Tbc lkn pia na watu wa Arumeru na wao wajitokeze watuambie kawafanyia vitu gani vzr,otherwisee naona mapema sana kumsifia japo si mbaya, lkn kama vile sio wewe umeandika huu uziiii, ndukiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Sijawahi kukufikiria hata siku moja kama unaweza kupokea bakshishi ya matapeli hawa wanasiasa!Lakin leo umeishawish nafsi yangu kwamba utakua umepokea kutoka kwa Muro!Huyu mtu anayemfokea Mkurugenz hadharan,huyu mtu anayemtuhumu Mbunge kwamba hakuna anachofanya,anayetoa gari la Dc liende kufanyia shughuli za kipuuz,huyu mtu aliesema hadharan Lisu auawe,huyu mtu aliesema hawez kufanya kaz na upinzani,huyu mtu aliekuwa anabwata bwata yanga!!Ndo visionary leader!! Aisee tumekwisha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Declaration of Interest
Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya kumsikia delivaries zake Arumeru.

Angalizo
Kama wewe ni miongoni mwa wale mnaokereka, Magufuli, serikali yake au mteule wake yoyote akisifiwa, then nakushauri, uishie hapa ili usikereke na kuharibu mood ya siku yako asubuhi subuhi. Hapa nimesifu kitu nilichosikia tuu amesema na amefanya.

Japo namfahamu Jerry Muro akiwa mtangazaji wa TV na nilimuona kama bishoo fulani tuu, hivyo alipoteuliwa DC, nilidhani atapeleka ubishoo kwenye u-DC kumbe huyu jamaa, Jerry Morro yuko vizuri, ni visionary leader mwenye uwezo, ana vision na mission to accomplish, ameonyesha uwezo, kipaji cha uongozi, na sasa anastahili kuwa RC, na akiwa, atakuwa kama RC Antony Mtaka, ambapo nadhani hawa jamaa watendaji wazuri wote kwenye u DC na u RC, wanastahili kuingia Bungeni kumsaidi rais kwa karibu zaidi ndani ya cabinet ya 2020.

Tangu ameteuliwa DC, leo ndio kwa mara ya kwanza nimemuona na kumsikiliza anafanya nini Arumeru, kiukweli kabisa this guy is dam good!, ni mbunifu, ni mfuatiliaji, ni mtendaji sio tuu ni mtoa maagizo, bali mpima matokeo ya utekelezaji.

Amesema alipofika Arumeru, alikuta kuna tatizo kubwa ardhi, akatolea mfano kuna mgogoro wa kiwanja baina ya wajane wawili wa mume mmoja uliodumu kwa miaka 18 bila mashamba kulimwa, sasa amewapatanisha, wamepatana, wameshikana mikono na kukumbatiana, sasa mgogoro huo umemalizika rasmi na mashamba sasa yanalimwa.

Wale wenye nafasi angalie TBC saa hii, Jerry yuko hewani anatiririki, kiukweli kabisa I'm very impressed by hisi vision ya Arumeru anayoitaka.

Wakipatikana ma DC kama huyu 10, wakafanywa kuwa ma RC, tutapata kina Antony Mtaka wa kutosha!.

Kwa haya Jerry anayoyafanya Arumeru, kiukweli Mhe. Joshua Nasari, ama aunge mkono Juhudi kwa kujiunga nao, ama atafute shughuli nyingine ya kufanya past 2020.

Paskali
Naona baada ya muamala ulio ingia. Tanzania ya viwonder

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kosa kubwa sana tunalofanya kama waafrika - kuamini uwezo binafsi wa mtu kuliko taasisi. Labda ni silka yetu ya tawala za kitemi, ambapo mtemi ndiyo anaamua nano ale na nani anyongwe leo.

Katika haya mapungufu yetu ndiyo unaona watu wanapotezea dhana nzima ya tawala za mitaa, km halmashauri, na kumuangalia huyu DC au RC ambao kiukweli hawana uwezo wowote wa kitaasisi isipokuwa lile rungu la kuwa mwenyekiti wa kamati ya usalama ya eneo husika.

Ukitaka kujua madhara ya kufanya hivyo, angalia taifa la DRC, ambalo tofauti na makoloni mengine ya africa, lilitolewa kama shamba binafsi la mfalme leopold wa belgium. Hakukuwa na jitihada yeyote ya kujenga taasisi za utawala, kama ilivyokuwa kwenye makoloni ya mwingereza, mfaransa au mreno. Uamuzi wote ulitokea kwenye kichwa cha mfalme leopold - nakushauri usome au uangalie movie ya Heart of Darkness ili uone madhara ya utawala wa aina hiyo. Lakini hata usipoweza kuangalia/ kusoma hicho kitabu unawrza ikaangalia tu namna DRC ilivyoshindikana mpaka leo. DRC sasa hivi ni nchi inayofaa kunyonywa tu, na ndiyo maaana rwanda, iganda na mtu yeyote mwenye akili anakazania kuinyonya kwa khadri ya uwezo wake. Tanzabia tusiingie kwenye mtego wa kuuwa taasisi za utawala.

Hata kwa Muzungu wenu ni hivyo pia, inategemeana na Kiongozi na siyo taasisi, vingenevyo kama hiyo taasisi ndo inayoamua kwa nini Muzungu hufanya Uchaguzi kubadilisha Kiongozi kila mara? Kwa nini wasiache kama taasisi siyo mtu?

Achani kudanganyana, taasisi ni mtu, na ili taasisi ifanye kazi vizuri inategemea na Kiongozi aliyopo, na hii ni Dunia nzima vinginevyo wangefuta chaguzi,

Muzungu hamumuelewi ingawaje mnafikiri mnamuelewa, ndo tatizo.
 
kuna wakati Mayalla anapima upepo JF. kwa akili zenu mnadhan pasco yuko sirious?? et murro ndio wa kuigwa kwa utendaji kaz pekee aliyo iona ni kupatanisha. ila hapa amendika viosion sijui mission akadabradabra......!

sawa Mayalla tumekusikia tutakuunga mkono kwa utani wako kwa huyu aliyetayari kuvunja katiba ili amtetee mtoto wa kike!!
 
Leo Pasco kwa kweli umeniangusha, si kwa kuwa napinga DC Muro si mchapakazi, hujatoa hoja ya msingi kuthibitisha hilo. Hoja uliyotoa ni hiyo tu ya kupatanisha hao wajane, the rest hujasema kitu ni bla bla blaaa tu. Labda kama kuna ambavyo anavisema huko TBC ambavyo hujaandika hapa.
 
Jerry Muro ni kijana, aina ile aliyosema JPM kuwa anawahitaji. Anapiga kazi ingawa wakati mwingine jazba za ujana zinamzidi nguvu.

Kuna kauli kasema kuwa Arumeru hakuna vyama vya upinzani bali vipo vyama shirikishi vyenye kushirikiana na serikali. Nawasubiri wale rafiki zake Joshua Nassari watakapomjibu mtandaoni.
 
"Amesema alipofika Arumeru, alikuta kuna tatizo kubwa ardhi, akatolea mfano kuna mgogoro wa kiwanja baina ya wajane wawili wa mume mmoja uliodumu kwa miaka 18 bila mashamba kulimwa, sasa amewapatanisha, wamepatana, wameshikana mikono na kukumbatiana, sasa mgogoro huo umemalizika rasmi na mashamba sasa yanalimwa."

Naona uzi wako wote ujumbe upo hapa

mayalla acha sanifu, kwamba huu mgogoro ndio kazi kubwa ya mfano aliyoifanya DC Jeri Muro toka afike Arumeru..Jeri Muro huna mifano mingine ya kazi uliyofanya toka unafika Arumeru hadi utolee mfano mdogo namna hiyo.?

Hadi akina mayalla wakuona kituko
 
Shida ni kuwa wengi wa wachangiaji tunasoma heading tu nakuanza kutoa Povu ,Hebu Pascal baelezee hawa watu kwa lugha ya kitoto labda wataelewa............
 
Wanabodi,

Declaration of Interest
Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya kumsikia delivaries zake Arumeru.

Angalizo
Kama wewe ni miongoni mwa wale mnaokereka, Magufuli, serikali yake au mteule wake yoyote akisifiwa, then nakushauri, uishie hapa ili usikereke na kuharibu mood ya siku yako asubuhi subuhi. Hapa nimesifu kitu nilichosikia tuu amesema na amefanya.

Japo namfahamu Jerry Muro akiwa mtangazaji wa TV na nilimuona kama bishoo fulani tuu, hivyo alipoteuliwa DC, nilidhani atapeleka ubishoo kwenye u-DC kumbe huyu jamaa, Jerry Morro yuko vizuri, ni visionary leader mwenye uwezo, ana vision na mission to accomplish, ameonyesha uwezo, kipaji cha uongozi, na sasa anastahili kuwa RC, na akiwa, atakuwa kama RC Antony Mtaka, ambapo nadhani hawa jamaa watendaji wazuri wote kwenye u DC na u RC, wanastahili kuingia Bungeni kumsaidi rais kwa karibu zaidi ndani ya cabinet ya 2020.

Tangu ameteuliwa DC, leo ndio kwa mara ya kwanza nimemuona na kumsikiliza anafanya nini Arumeru, kiukweli kabisa this guy is dam good!, ni mbunifu, ni mfuatiliaji, ni mtendaji sio tuu ni mtoa maagizo, bali mpima matokeo ya utekelezaji.

Amesema alipofika Arumeru, alikuta kuna tatizo kubwa ardhi, akatolea mfano kuna mgogoro wa kiwanja baina ya wajane wawili wa mume mmoja uliodumu kwa miaka 18 bila mashamba kulimwa, sasa amewapatanisha, wamepatana, wameshikana mikono na kukumbatiana, sasa mgogoro huo umemalizika rasmi na mashamba sasa yanalimwa.

Wale wenye nafasi angalie TBC saa hii, Jerry yuko hewani anatiririki, kwenye kipindi maalum cha 30 min kuhusu Arumeru, kiukweli kabisa I'm very impressed by hisi vision ya Arumeru anayoitaka, I wish kipindi hiki kiwe uploaded youtube, nikiweke mkisikiliza ndipo mtanielewa nasema nini humu, vinginevyo itaonekana kama promo kwa Jerry Morro.

Wakipatikana ma DC kama huyu 10, wakafanywa kuwa ma RC, tutapata kina Antony Mtaka wa kutosha!.

Kwa haya Jerry anayoyafanya Arumeru, kiukweli Mhe. Joshua Nasari, ama aunge mkono Juhudi kwa kujiunga nao, ama atafute shughuli nyingine ya kufanya past 2020.

Paskali
Rejea za Wasifu wa Viongozi Mbalimbali.
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... - JamiiForums
Kaka Pascal leo sijui umeamkaje? Uliponitia shaka kidogo pale ulipomuingiza Mh Nassari, wenyewe humuita dogo janja. Hapo tu ndio sijakuelewa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal umeanza kuandika post za hiv. Sawa unamkubali, taja basi hata kitu kimoja alichoifanyia Arumeru kilichokufanya umkubali...maana hapa unasema umemkubali kwa jinsi ulivyomtazama TBC!!!!
KAPATANISHA KINAMAMA WALIOKUWA NA UGOMVI WA MIAKA 18 NAMASHAMBA YAO YALIKUWA HAYALIMWI. SIJAJUA KAWAPATANISHA KIIMLA AU KIDINI ILA KUBWA WAWE WAMEPATANA KIDHATI TOKA MOYONI
 
Back
Top Bottom