Recent content by Fainali Uzeeni

  1. Fainali Uzeeni

    Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

    Nafikiri ujinga wa kwanza ni wewe mwenyewe kutokujua nilichoandika,tena sio ujinga inawezekana ukawa mpumbavu, nimesema Mao ndie kajenga misingi ya China,huyo mwingine kafungua nchi kipindi watu wana mindset ya nchi kwanza kutoka kwa Mao,kama nimeandika ujinga kwanini Mao bado anaendelea...
  2. Fainali Uzeeni

    Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

    Mkuu huu mtandao umekuwa wa Kisenge sana,kuna watu wana majina makubwa humu ila ukisoma comment zao kwenye mambo ya msingi kuhusu nchi au Historia yetu unabaki kushika kichwa tu, Kwa mfano Nyerere aliandika Kitabu cha Tanu Na Raia kuwakumbusha viongozi juu ya wajibu wao katika Taifa hili...
  3. Fainali Uzeeni

    Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

    Hii mada ndio nimeamini kweli hii nchi watu uwezo wa kufikiri ni mdogo sana,huyo Mzungu ni Mpumbavu kama wanaomuunga mkono walivyo Wapumbavu zaidi yake, Unapomzungumzia Nyerere lazima Akili itulie sio anaropoka ropoka kama kuna kitu kimeingia sehemu za Siri, Swali la kwanza la kujiuliza kama...
  4. Fainali Uzeeni

    Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Wewe ni mpumbavu,siku moja jaribu kutoka nje ya hii nchi ukaone jinsi watu walivyomakini na suala la uraia,huwezi kupewa uraia kwa mambo ya Kisenge kama hayo na ww unakuja humu kuandika huu Upuuzi,unapo mpa mtu uraia sababu ya mpira unapaswa ujiulize siku akipata ajali au kiwango chake kikishuka...
  5. Fainali Uzeeni

    Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

    Mkuu hii sio habari ya kufumbiwa macho kabisa na watu wetu wa Usalama,leo hii sisi ambao tunanufaika kwa kuwa karibu na wachina huku tukijiona tumefanikiwa kuliko wanaotuzunguka kwenye jamii zetu muda sio mrefu hata sisi wanufaikaji wa vi misaada hivi tutaona uhalisia na matokeo ya huu Upumbavu...
  6. Fainali Uzeeni

    Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

    Mkuu kwanza nakupa hongera,pili embu shusha Madini hayo,Uzi wako umekuja wakati muafaka kwa kuwa ndio tunaanza mwaka 2025 naimani wapo Vijana watajifunza kitu hapa kuhusu Maisha na jinsi gani Vijana wa Tanzania miaka ya nyuma walivyokuwa ma Mafia katika kutafuta maisha nje ya nchi,Stori za namna...
  7. Fainali Uzeeni

    Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

    Ukikaa na Wakenya,Wanyarwanda na Wanaijeria wanasema katika Afrika hakuna Vijana wapumbavu na wasiokuwa na Akili km Watanzania,mfano wake ndio huu. Hapo anaandika huu upumbavu ndio kamaliza Chuo, anataka wasomaji wajifunze alichokifanya au tuchangie alichokifanya ili tuanze kucheka cheka...
  8. Fainali Uzeeni

    On one occasion, in the dead of night, he purportedly appeared at Vice President Samia Suluhu's residence in pyjamas

    Wewe Mzee kumbe hamnazo,makamu analindwa na watu wa Mfumo,lakini pia Raisi analindwa na watu wa Mfumo muda wote,kwa Akili zako Kisoda unataka kuaminisha watu Magu alikwenda kumbaka makamu wake akiwa Uchi kweli? Licha ya changamoto zake Magu hawezi akafanya mambo ya kitoto namna hiyo, kwenye...
  9. Fainali Uzeeni

    BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

    Embu tuelezee ushiriki wa Kanali Ali Mahfuodh katika Mapinduzi hayo,kwanini alikwenda Cuba kupata mafunzo makali na kukubali kuumia tena kwa hiari yake mwenyewe wakati Zanzibar kulikuwa na Raha na hakukuwa na ubaguzi au udharimu wa hao masultani?
  10. Fainali Uzeeni

    BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

    Kwa hiyo unataka kusema Kitabu cha Ghassanry ndio Ukweli pekee na Historia nyingine yoyote ni Uongo
  11. Fainali Uzeeni

    BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

    Mzee embu muogope Mungu wako,kwa hiyo unataka kutuambia kati yako wewe uliyehadithiwa kuhusu Mapinduzi na Wazanzibar wenyewe wakiongozwa na Abdulhaman Babu chini ya Umma party walioshiriki Mapinduzi nani ni mkweli katika Usahihi wa kufanya Mapinduzi hayo?
  12. Fainali Uzeeni

    Naibu Waziri Kigahe: Wajasiriamali Wapewe Elimu ya Kurasimisha Biashara

    Mkuu nikupe hongera, unajitahidi sana kuleta taarifa/habari za Fursa mara kwa mara ila wachangiaji sio wengi,usichoke tupo tunaosoma na kujifunza kitu kipya kupitia bandiko zako,,wewe ni kwangu ni sawa na vyanzo kama Bloomberg, Financial Times au hata CNBC Make It
  13. Fainali Uzeeni

    Chunya: Mchimbaji Mdogo Wa Madini ya Dhahabu Bwana Aidan Msigwa Amefanikiwa Kuuza Dhahabu Za Shilingi Bilioni 20.1

    Mkuu,nimebahatika kusafiri kama wewe,rafiki zangu wajerumani wanatoka mji wa Spaichngen karibu na Tuttlingen pale. Katika kusafiri kwangu nje ya Africa na nchi za Africa kama South Africa, Botswana, Namibia, Zimbabwe,Angola na nyingine nilikuja kugundua hakuna nchi nyepesi kutoboa kama...
  14. Fainali Uzeeni

    Chunya: Mchimbaji Mdogo Wa Madini ya Dhahabu Bwana Aidan Msigwa Amefanikiwa Kuuza Dhahabu Za Shilingi Bilioni 20.1

    Muda mwin Muda mwingine tunatamani kutoa fursa za elimu ya haya mambo ili watu watakaoweza wabadili maisha yao ila tunashindwa sababu ya upumbavu wa wajuaji humu jukwaani,wamarekani wanafufua reli ya Lobito na ikiwezekana wanataka waje mpaka Dar,wachina wameshachukua reli ya Tazara lengo ni...
  15. Fainali Uzeeni

    Chunya: Mchimbaji Mdogo Wa Madini ya Dhahabu Bwana Aidan Msigwa Amefanikiwa Kuuza Dhahabu Za Shilingi Bilioni 20.1

    Hakuna Mahali niliposema nchi nzima watu wachimbe Madini,Acha kukurupuka mkuu,soma vizuri nilichoandika,kama kichwa chako hakielewi uliza,nilichozungumzia ni hiki kilichopatikana kwa Msigwa kilipaswa kiwe kitu cha kawaida tu kutokana na rasilimali tulizokuwa nazo,pili sijasema Uchimbaji ni...
Back
Top Bottom