Recent content by Faidajoy

  1. F

    WanaCCM tupaze sauti zetu hali ni ngumu huku mtaani

    Mi nimehama rasmi CCM,siitaki tena
  2. F

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Nipo naelekea buguruni muda hu,mpaka waseme po
  3. F

    Kazi siku nyingine Leo Edward Lowassa

    Nipo naelekea buguruni muda hu,Leo ni mafutiko kwenda mbele,mwisho Wa CCM umefika
  4. F

    Alikufa tar 24/7 na alizaliwa tar 24/7 na zote zikiwa ni Ijumaa

    Hiyo mdogo wako alikuwa pepo mdogo mnayeishi Naye,kiarabu tunamwita kibriii,na alivyokufa alikimbilia baharini,yupo baharini na jibriii,na huyo mdogo wako siku za uhai wake alikuwa anapenda kura unga,na kwa week lazima aamke saa Tisa usiku kukojoa kwa week Mara 3
  5. F

    Kwanini Tutampigia Kura Magufuli na Kupata Ushindi Wa Kishindo Oktoba 25!!

    Utampigia wewe ,sisi tumeshahama CCM ni team lowassa
  6. F

    Mwenyekiti Kikwete, itisha mkutano wa dharura tunusuru chama

    Mimi mwenyewe nimehana rasmi leo CCM
  7. F

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Tutaenda nyomi ya hatari siku hiyo kumsindikiza Rais Wa Tanzania
  8. F

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Magufuri ndiyo nani huyo
  9. F

    Mrejesho: Alinialika tuishi wote, sasa anadai nichangie kodi

    Kwanini ulikubari kwenda kwake??inamanisha akili yako ilikuwa imefungwa,ulikuwa unataka mteremko,ulelewe na mwanamke,Asingekuomba kodi ungeendelea kulelewa,wanaume huwa hawa lelewi na wanawake hta siku moja na hata maandiko yanasema hivyo,kwahiyo umetenda dhambi kubwa sana,umeenda kinyume na...
  10. F

    Mbowe Batilisha Uteuzi Wako wa Fisadi Lowassa. Tunamtaka Dr. Slaa….!

    Acha kupanic ngoja dozi iwaingie CCM
  11. F

    Wenyeviti UKAWA wanamtaka Lowassa, makatibu na wanachama wengi hawataki

    Mimi nimehama rasmi CCM,naendelea na safari ya Matumaini kama kawaida.Lowassa juuuu
  12. F

    Wenyeviti UKAWA wanamtaka Lowassa, makatibu na wanachama wengi hawataki

    Siyo kweli mnafiki mkubwa mbona Mimi ninampenda na nimehama CCM rasmi kwa uonezi waliomfanyia
  13. F

    Prof. Baregu: CHADEMA tuko wamoja

    Povu linawatoka CCM na bado mpaka mseme pooo
Back
Top Bottom