maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Leo ni fisadi kwa sababu hayuko upande wa CCM mbona hamjibu suala la mkuu aliyehusushwa na Richmond? Hizi njaa ni hatari sana, katoa ushahidi kuwa siyo yeye lakini mmekomaa kuwa fisadi sasa semeni vema nasi ambao hatuna chama tunataka mabadilikoPesa zina nguvu kuliko PHD.
Ukiona hadi Professor Baregu kabadili msimamo na kutetea mafisadi basi unajua tanzania inaanza kuwa na wasomi na maprofesa koko ambao hawana msaada wowote wa maana kwa wananchi wa kawaida.Pesa ina uwezo wa kufuta hata PHD ya mtu ikamuweka kwenye kundi la watu ambao hata shule hawakukanyaga.Shame on you proffessor Baregu.