Hey Sis, usiconclude kitu kama hujaelewa, hakuna nilichoficha hapo. Ukirudia kusoma reply yangu nimeonesha kialama cha mshangao, nimeshangaa kuambiwa nimeficha. Na sina sababu ya kufanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Relationship for 7yrs? So that's to say mie subira sina!! Sorry,but Natamani kujua nini sababu ya kukuvumilia muda wote huo, ulimwaminisha vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni sana Maashaallah!! Nipate ka Experience kutoka kwenu, mlichukua muda gani kwenye mahusiano kabla ya kupeleka posa kwao?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.