Recent content by FahariPride

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    Hapo kwenye kipengele cha thread yako no 17, umesema waliokua wakiishi kwenye hiyo nchi ni wa-Canaan sasa hilo Taifa la Israel limepata wapi haki ya kuishi kwenye eneo (nchi) ambalo sio lao? Indigenous Palestinian ndio hao wa-Canan na Baadhi ya makabila Mengine ambao ndio wewe unawaita...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Vichaa huona nini?

    Hao ambao walizaa watakua sio vichaa Bali wamepangiwa kuonekana kama vichaa kutoka Kazi I kwako,
  3. F

    JamiiForums Tanzania Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

    …..Time travel ni topic kubwa kidogo kwako, sio kitu cha kueleweka na kila mtu, vichwa vyetu wengi vimejizuia kuwaza vizuri kwa sababu ya mazingira tuliyokulia. Kwa uwezo wako leo tambua tu kuwa leo Time travel nadharia kwa wengi lakini kesho itakuwa kitu halisi kabisa. Miaka 500 iliyopita...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

    Wanaume wana mioyo hai ujue! Yaani hao wadada walikua hawamuhu kabisa ila wameanza kumhusu mara tu alivyowaona. Ni ngumu kuacha yasikuhusu
  5. F

    JamiiForums Tanzania At the end we will prove that we are all wrong ,not only Newton

    Wewe umeelewa ulichotueleza?
  6. F

    JamiiForums Tanzania CAG anatakiwa kutangaza kuachia ngazi mapema

    Umesema vyema Sent using Jamii Forums mobile app
  7. F

    JamiiForums Tanzania Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Umesema vyema mkuu, kila mtu ana namna yake ya kuswali sasa wao waislam hiyo ndio namna yao ya ibada, wanahitaji nyumba ya ibada hivyo wapewe nafasi hiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya MeTL "Mo Dewji" yakanusha habari ya kufunga Viwanda vyake tarehe 20 Oct 2018

    ....nahisi kuna mtu kasahau au kapitiliza mda wa kumeza dawa.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Poor waandishi na magazeti ya Tanzania!!?

    Maridhiano ya posa au ? Be positive. Sio kila kitu ni kubisha tu. Pro John Alifuata nini TZ kama kampuni yao haina makosa? Angebakia hukohuko Canada kama ana jeuri. Hivi barick wasipolipa wewe unafaidika nini labda? Sio kila kitu ni siasa.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Mghwira akizungumza na kamati ya Siasa CCM mkoa wa Kilimanjaro

    Afadhali ZZK kuliko mwenyekiti wenu aliyemchafua Mtu kwa miaka mingi alafu baadae anaturudia kuwa yule mtu ni msafi tumpe kura za urais. Kuna unafiki zaidi ya huo.?
  11. F

    JamiiForums Tanzania RC Anna Mghwira: Mtu asijenifuata ofisini kuniambia masuala ya ACT Wazalendo

    Ndugu msikilize Mama mpaka mwisho, anasema masuala ya kichama atafanya kwenye kila ofisi ya chama husika. Mlitaka akatae kuwatumikia waTZ ili iweje? Au mlitaka akae upande wa kulalamika na kulaumu kila siku kama nyie? Lini atalitumikia Taifa? Acheni siasa katika kila kitu. Maisha lazima...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mbunifu wa Nembo ya Taifa anaishi maisha duni sana

    Alichora bure hiyo nembo? Hana watoto na ndugu? Aliahidiwa kutunzwa mpaka kufa? Alikatazwa kuendelea na sanaa yake baada ku-design hiyo nembo? Maisha sio kwa wasiopambana nayo, sio kila kitu ni kulaumu tunapoteza nguvu kwa kulalamika na kulaumu.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna atakayefungwa kisa madawa ya kulevya

    Sasa wapi makonda kawakataza ma-RC wengine kuungana naye kwenye vita ya madawa ya kulevya? Kama wanataka wakamate wauza madawa kwenye mikoa yao, sio wasubiri waitwe na Paul.
  14. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Inahitaji Reformation haraka kuweza kum-catch Magufuli!!!

    ....matamko yote yanayotolewa na chama yanatolewa baada ya vikao vya ndani ambavyo vimeruhusiwa, sasa kupigwa marufuku mikutano ya nje kunatuzuia nini sisi kama chama kupanga mipango ya chama badala ya kusubiri matukio ndo tuzungumzie? Hofu yangu ni kuwa historia itatuhukumu hiyo kesho kwa kukaa...
Back
Top Bottom