Recent content by fahadain

  1. fahadain

    Nataka kujilipua nimtumie huyu jamaa ili aniunge bando la tiGO kwa Tzs 6,500

    0634355706 Bingwa nicheki ASAP! Ukiona tu hizi namba.
  2. fahadain

    Inamaanisha nini kufuatilia bunge la Kenya zaidi kuliko bunge letu tukufu?

    Tayari huko Gachagua wameshalamba kichwa!
  3. fahadain

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    mtu wa maana sana huyu
  4. fahadain

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Mkuu jitahidi uvute bangi kama huvuti,hilo wenge sio la nchi hii!
  5. fahadain

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    stori nzuri una uandishi flani kama Brandon Anderson (stormlight archive) yani unamueka msomaji anakuepo mazingira hayo.. barikiwa
  6. fahadain

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    umenikumbusha maeneo ya amboni na viunga vyake asee ni kuzuri sana huko. Tanga nilipaelewa sana mazingira yake
  7. fahadain

    The Inner peace, ndio furaha ya kweli jifunze, maisha yako yawe ya furaha

    Hahaahah uyo mwehu ametaka kunivunja mbavu aisee!
  8. fahadain

    Kama ana 7 kati ya haya 10. Oa tu mkuu, hakuna tatizo

    Mtoto mmoja ana tick 10 hapo halafu ajabu na kweli jana tu kanipiga chini daadeq! Halafu raha zaidi,sijui sababu!
  9. fahadain

    Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

    Makonda amekaa benchi kwa muda mrefu tu mbona hakushitakiwa kwa mauaji unayoyapigia upatu, au hata kuyafichua vizuri yakaeleweka na watu.. SHAME!
  10. fahadain

    Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

    alikuwa mwenyekiti uvccm taifa kabla ya kuwa DC
  11. fahadain

    Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Kuna sehemu hapo juu umesema utazungumzia maujanja yaku_reset karmic debts na vitu kama hivyo, nasubiri kwa ham labda nitaambulia kitu 老师
  12. fahadain

    Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    unaichemsha unakunywa
  13. fahadain

    Nimegundua njia ya kuifikia subconscious mind kupitia ndoto

    Mkuu una kitu, naomba usikilizwe
Back
Top Bottom