Wa tz tuko vizuri mtu kaomba ushauri wa gharama lets say tofal kadhaa bati kadhaa kuna nondo ngapi mbao ngap na za linta ngap....
Ila duh tz nchi ya aman sana mzee kma vip lima bang maana una experienc zaid
Habari bei ya wiki hii ni 7000 nafata shamba mwenyewe kwanzia tray 200 yawe makubwa na kabla ya kufata mzigo nafika shamba kwanza kukagua na pesa ni cash
Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze au Kibaha.
Bei 7000 hadi 7300 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray kuanzia 200 na kuendelea, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es Salaam Ilala, Amana.
Nafika hadi shamba kufata mzigo.
Hiyo kitu nmeandika mwez april zaid ya miez 3 nyuma saa mnalalamika bei nlokuwa nachokulia kipimd hiko huku mnalinganisha na ya sasa ili hali mnajua mayai yanapnda na kushuka
Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze, Kibaha.
Bei 6500 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray 200, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es salaam ilala amana
Habari wana jamii, nlikuwa na mkanda wa VHS au matofali kwa wengi walivyozoea.
Sasa nlikuwa nataka niamishe content zilizopo ndani niweke katika CD kama unajua mtu anaehusika na kazi hizi naomba namba zao.
Ahsanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.