Msaada wa kuhamisha picha kutoka kwenye VHC kwenda kwenye flash

Tmlekwa

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
255
236
Mwenye kujua wapi naweza kuhanisha picha kutoka ktk vhc( kama takua nimekosea namaanisha ile mikanda ya video a.k.a matofal) kuweka ktk flash.. nipo Dar
 
VHs mkuu..
Kuna ule utaalam wa kuhamisha kutoka vhs kwenda kwa cd ,unaweza google.
Then ikiwa kwa cd unahamisha kwa pen/flash drive.
 
Mkuu unachotakiwa kufanya ni kuwa na deck ya vhs,pinnacle card,na any software ya video editn,mf pinnacle,Adobe premiere pro nk,unaihamisha kutoka kwenye vhs na kuiweka kwenye kompyuta,hapo tayari unaweza kuikop na kueka kwenye flash. Lakini wapo watu wanaofanya hiyo kazi,nahc wanachaji 20000 km ctakosea.
Mwenye kujua wapi naweza kuhanisha picha kutoka ktk vhc( kama takua nimekosea namaanisha ile mikanda ya video a.k.a matofal) kuweka ktk flash.. nipo Dar
 
Mkuu unachotakiwa kufanya ni kuwa na deck ya vhs,pinnacle card,na any software ya video editn,mf pinnacle,Adobe premiere pro nk,unaihamisha kutoka kwenye vhs na kuiweka kwenye kompyuta,hapo tayari unaweza kuikop na kueka kwenye flash. Lakini wapo watu wanaofanya hiyo kazi,nahc wanachaji 20000 km ctakosea.
Nahitaji connection na hawa watu nna mkanda wangu nataka uweka kwenye cd
 
kama una desktop nunua video card connect deki ya mkanda na desktop kisha ukiwa ndani ya desktop rekodi.

CE310B_4.png

kwa desktop ama laptop zipo pia videocard za usb unaweza tumia
51erzrvfapL._AC_SL1000_.jpg

price recomendation around 30k
 
Issue ni

Issue ni sina vhs player nna vhs tape tu
 
Back
Top Bottom