Mkuu Mwita Maranya ulikuwa kama mtabiri vile, hakika nawapongeza sana waliobuni hii blog hakika inatia moyo kuchangia masuala ya nyumbani kabisa popote unapokuwa na itakuwa rahisi kujua kinachoendelea kwenye kata unayotoka. Hongereni sana.
Mkuu Albedo, unapomtetea mtu lazima kwanza kuna some facts unatakiwa ukubaline nazo, Ben alituhumiwa kutaka kuivunja katiba ya chama, right? kuvunja katiba ni uhaini, right? katika nchi nyingi adhabu ya mhaini kifo au kuwekwa detention kama Aboud Jumbe. Kichama uhaini au usaliti adhabu yake ni...
Huwa najiuliza siku muungano ukivunjika mipaka ya tanganyika na zanzibar itaishia wapi, ndani ya bahari katikati ya Dar es salaam na kisiwa cha Zanzibar au kati ya Tanga na kisiwa cha Pemba, au ufukweni Kigamboni na Magogoni ferry na Kunduchi. Naomba wenye ujuzi na mambo ya territory wanisaidie...
Tukio zima la kupigwa kwa DC Igunga limetufunza yafuatayo..
Funzo kwa viongozi wote wa serikali kuwa wakae mbali na uchaguzi waviache vyama vipambane vyenyewe
Afande Mwema awasifu wanachama wa Chadema kwa kutekeleza kwa vitendo dhana yake ya Ulinzi jamii shirikishi
Ni kweli haki huwa...
Chama cha Mapinduzi CCM kimeahirisha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, NEC, kilichotarajiwa kufanyika mwezi huu mjini Dodoma, kwa ajili ya utekelezaji wa dhana ya kuvuana magamba, inayowalenga makada wawili, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge.
Duru...
Kila kitu kinatengenezwa hata wewe ulitengenezwa na Mungu kama imetengenezwa je anayosema kuhusu kambi nayo huyaamini? maana mtengeneza kambi mwenyewe Mwigulu amekiri.
Mwigulu anaposema wana kambi moja tu na si zaidi ana maana gani mbona kabla hata hiyo moja alikanusha, CCM wanashindwa kusoma alama za nyakati hizi si zama za RTD kuwa watu watasubiri watangaziwe na mkuu wa mkoa au wa wilaya ili waamini sources ni nyingi kinachohitajika ni kubadilika, kama...
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesisitiza msimamo wa Tanzania wa kutotambua Baraza la Mpito la Libya (NTC) na badala yake amelitaka litekeleze mpango wa amani wa Libya uliokubaliwa na Umoja wa Afrika (AU). --HabariLeo.
My take:
Kama Membe halitambui baraza...
If you are following this thread please read this article might contain information you needed to know.
Mahmood Mamdani is professor and director of Makerere Institute of Social Research at Makerere University, Kampala, Uganda, and Herbert Lehman Professor of Government at Columbia University...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.