Facts1
JF-Expert Member
- Dec 23, 2009
- 307
- 28
Huwa najiuliza siku muungano ukivunjika mipaka ya tanganyika na zanzibar itaishia wapi, ndani ya bahari katikati ya Dar es salaam na kisiwa cha Zanzibar au kati ya Tanga na kisiwa cha Pemba, au ufukweni Kigamboni na Magogoni ferry na Kunduchi. Naomba wenye ujuzi na mambo ya territory wanisaidie na je ile sheria ya Tanganyika coastal strip itatumika? Nauliza hivi kwa sababu lazima kuna siku tu tutatengana kama si enzi zetu watoto na wajukuu wetu lazima watadai haya tunayodai leo.