Recent content by Fact1990

  1. F

    JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    Na shubamiti anaweza pretend hivi hata kwa miaka mingi, oa weka ndani, hakuna rangi utaacha ona, sio wote lakini
  2. F

    JamiiForums Tanzania idadi ya watu waliokufa na walio hai ipi kubwa?

    Well said 🫡
  3. F

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu Shule ya Nyampulukano - Sengerema wameshtakiwa, Mkuu wa Shule ni mmoja wao ila anaendelea na kazi

    100% ya watu wamejibu against mleta uzi, nadhani amepata aibu na fundisho, kuweka na majina yao hapa ni roho mbaya iliyopitiliza, mleta uzi tu kashindwa kuweka jina lake ila ya wenzie kayamwaga hadharani
  4. F

    JamiiForums Tanzania Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

    Unaemtetea alichagua style ya kuongea na alijua matokeo yake ila unawashwa kusema anaonewa, next time atakuja kuua red handed na bado mtasema AI shubamiti kabisa, lisu akichagua kuropoka na kuongea mambo ambayo anajua yatamweka matatani, unawashwa nini akiwekwa jela? Si alichagua mwenyewe, kuna...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

    Na lisu akiwa jela endelea kuwashwa pekee yako na sio ku share maumivu yako huku uone kama kuna mtu atahangaika na wewe
  6. F

    JamiiForums Tanzania Uzingatie uzi huu kabla hujapita…

    😅 sasa si uache sasa hivi
  7. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yah, kabisa
  8. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Internal auditor za MDAs and LGAs, nilifanya oral 13/04/2026
  9. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndio, katika hao 100 kuna wengi huwa hawa report ndani ya siku 14, mimi nilihesabu post mpaka 102 zikaisha post walizotangazq nikakata tamaa, ila mpaka sasa wameita zimefika 130 na mimi nimepita, usivunjike moyo
  10. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana
  11. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante mkuu
  12. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Shukrani sana mbet mkeka wetu, hili la sasa hivi wamenikumbuka 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
  13. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wametoa ka pdf uchwara leo
  14. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Inawezekana hii ni dalili oral tulizofanya hatujatoboa, tunaanza upya
  15. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tunamsubiria anaetupa hinti mkeka ukianza kusukwa
Back
Top Bottom