Chadema malanyingi imekosa busara inapofanya maamuzi ya kuwavuwa viongozi madalaka yao. Mfano madiwani wa Arusha ilikuwa akunasababu yoyote ya kuwafukuza kwakuwa kitu walicho fanya ndio kilicho fanyika sasa hivi, chadema ni manaibu meya Arusha. Lakini cheo hicho kiliwafukuza madiwani 6 kwa...
Tanzania aina mwanasiasa mwenyedila ya kufufua uchumi ulioanguka kuanzia mwaka wa 1978. Sasa hivi tunawanasiasa wanaotaka vyeo ili wapate mishaara mikubwa kwenye kila cheo anachopewa siasa kama hizi zinawapelekea watazania kushindwa kujua nani atakuwa mkombozi wao kiuchumi hivyo Lowasa kwa sasa...
Safi sana umetuweka sawa sisi wanchi tumekuelewa pia ninakupa pongezi kwa uvumilivu. Tuache kuangalia mabaya tu ya Zito pia tuangalie mchango wake katika chama hapo nyuma, kunamazuri mengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.