Ni jinsi gani unaweza kuflash simu yako

Ni jinsi gani unaweza kuflash simu yako

Zima cm then shika baton ya kuzimia , ya saut na ya kati kwa pamoja kwa nguvu utaon option ya kudelete kula kitu...
 
mi nataka ku root htc wildfire ninetumia soft ya mobogenie imegoma unaweza nisaidia maelezo mkuu.
 
Niambie jina la simu nikufaha mishe

simu yangu (NOKIA E5) nilinunua kwa mtu... Sasa nikipiga *#7370# inanidai lock code... Hata nilipo muuliza mwenyew anadai ameisahau... So what can i do...
 
simu yangu (NOKIA E5) nilinunua kwa mtu... Sasa nikipiga *#7370# inanidai lock code... Hata nilipo muuliza mwenyew anadai ameisahau... So what can i do...

lock code ya nokia 12345 ndo hiyo hapo
 
lock code ya nokia 12345 ndo hiyo hapo

Hizo code nilishajaribu bila mafanikio. zinaleta error code.. its sizo
nahitaji solution namna ya kuflash simu hii
kama unajua njia nyingine nijuze
 
Kuflash Cmu ndoo kupojee na restore setting inakuaje?
Jee kwa wale ambao password ya cmu kwa hawazjui hzo code zinafanya kaz?
Nielimisheni hapo kwenye kuflash cmu n nn plz?
 
Back
Top Bottom